laugh out loud loooooool

Sharobaro alikuwa anatokea demu, akatoka naye dinner kwenye subway moja, akawa anasikia muziki mkubwa wenye beats za kutosha, ghafla akajisikia kupumua na ikawa noma kwake maana demu yuko mbele yake halafu watu nyomi.

Akaamua kupumua kwa kufuata beats za muziki ili isisikike. Ghafla akaona demu anaondoka kwa hasira halafu watu wote wanamtazama kwa mshangao.

Akagundua jambo,

''khaa!!! kumbe muziki unatoka kwenye head phone za ipod zangu bana''

Duh! Bonge la noma na lawama kilo kumi...
 
Mshikaj mmoja alikuwa na ding yake, akamwona dem wake anakuja, bahat mbaya dingi alikuwa mkali sana na mazungumzo yao yalikuwa hiv...
MSHIKAJ: Umekuja kuchukua kile kitabu cha speak english my father doesn't know?
DEMU: Yeah, na kile cha where should l wait u?
MSHKAJ: Dah! hicho hakipo labda kile cha wait me under the coconut tree!
DEMU: Sawa ucsahau kile cha I give u 5 minutes. MSHIKAJ: Yeah, nitakupa pia na kile cha I wont let you down.
DING: mbona vingi sana atavisoma vyote?
MSHIKAJ: Aaah, huyu dada anasoma sana vitabu na ndo anatuongoza Darasan.
DING: Mpe basi na kile cha I am not that much stupid...

Duh! Huyo dogo huenda alizimia kwa aibu...
 
Little Boy: Dad, How was I Born..?

Dad: Well, Son... Ur Mom & I Got Together At "Jamii Forums". We Set up A Date Via "E-Mail" & Met In "Cyber Cafe"

Ur Mom Agreed To "Download Data" From My "PEN DRIVE".
So I put it in ur mom's USB "Port", & just When I Was About To "Transfer",

We Realized That None Of us had "Installed" any "Antivirus".
It Was Too Late To hit "Cancel"

Nine Months Later A "Pop-up Window" Appeared Saying
"You Have Got A MAIL"

Hahaha soo funny...
 
Ambulance hubeba wagonjwa mahututi; kazi ya kuzima moto ni ya kikosi cha kuzima moto!

hapo vipi?
There are 3 rooms
1. Gold Coins
2. Currency Notes
3. Cotton Bags
If the 3 rooms catch FIRE, on which room will the ambulance pour water 1st?
Reply to me and I'll tell you what your IQ is!


 
Ambulance hubeba wagonjwa mahututi; kazi ya kuzima moto ni ya kikosi cha kuzima moto!

hapo vipi?



Kwan ambulance lazima li gar la wagonjwa!!??? Je kama zima moto wameamua kulianduka gar lao ambulance trans kama jina tu na co maana katika lengo!!! 2Ckariri ho gar litaanza na gold rum
 
what is your answer?

mine is the logic thinking..and you?

Kwan ambulance lazima li gar la wagonjwa!!??? Je kama zima moto wameamua kulianduka gar lao ambulance trans kama jina tu na co maana katika lengo!!! 2Ckariri ho gar litaanza na gold rum
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom