Elections 2010 Latest 50 constituencies and their correspondent winners

Mbona ITV walitangaza kuwa Arumeru magharibi wameshinda jamaa wa green. au walikuwa wanatuchakachua?
 
Rombo matokeo ya mwanzo yalikuwa ni kura moja baina ya mlamba na selasini, tume imeridhia ombi la ccm kurudia kuhesabu kura.
 
Kiboko ya JSM kapita kwa saana kule Mtera. Kura 23612 dhidi ya 4520 za CHADEMA
 
We unaumwa nini?? Kwani upinzani umeanza leo......................Kw ataarifa yako mpaka sasa official results wana zaid ya 20 kati ya kama 55 yaliyotangazwa!!

Mbona una jazba sana. Upinzani utapata majimbo zaidi ya 110.:rip:
 
Kazimoto weka namba pembeni ili iwe Rais kuhesabu jumla ya viti vya Chadema ,CCM ,Cuf,NCCR ..nk nk
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom