Ben Mugashe
JF-Expert Member
- Oct 9, 2008
- 998
- 615
Count me IN as ussual..
Count me IN as ussual..
mkuu Malila nimekurushia details kwenye PM yako.
nami nimo.
Linapokuja swala la kuwekeza hua sichelewi sana kuingia na kucheza hiyo ngoma.Mawazo yangu ni haya, kuna fursa nyingi ktk kilimo na mitaji yake sio mikubwa sana,tunaweza vamia pori kubwa bila kununua na tukaanzisha kijiji cha mifugo, mipori iko mingi sana haina wenyewe. Wazo la pili, ninalirudia, twende ktk miji midogo inayokuwa ( Kimanzi/Chalinze/segera nk) tupate eneo kubwa na kulifanya service center, silaha yetu kubwa iwe huduma bora kwa wateja. Naamini inaweza kuwa nembo ya mji huo kwa huduma zetu.
Tumejaribu ktk project ya misitu na tumefanikiwa sana, sasa hivi tunaendelea na uwekezaji ktk shamba dogo la kuku, ardhi tunayo tayari na jengo la kuanzia lipo, hatujaanza na jogoo kama alivyoanza NM bali tumeanza na tetea nane kwa kuwatoa huku huku pwani na jogoo wa jirani.
kule rufiji nilipata shamba na nimelima mananasi kule heka 8.....kule ardhi ipo tena nzuru tu twaweza kuangalia na huko pia
malila
milango ya safina bado ipo wazi?
naona seat zinakwisha
kaka mwaka jana nimeenda kule sadani (unapafahamu) kule nimekuta kuna ardhi kibao halafu inauzwa kwa bei nafuu sana....nimefanikiwa kupata ardhi kule....nimekuta kuna wazungu wale waliofukuzwa na mugabe wako kule wamjichimbia kule wnalima mahindi kweli kwa wingi...kule kuna mapori kibao na ardhi safi
kwenye nchi hii kuna mapori kibao lakini kaka huko chalinze karibu yote mafisadi wamejigawia maeneo kule....
Malila
check pm mkuu
Utanikosea haki kabisa ukiniacha katika hili....Kesho Break PointKwa hiyo tupo 4 tayari au nimehesabu vibaya? Yaani VOR,LAT Kasopa and Mimi,ngoja tusubiri wengine.
Katika kupata update ya yaliojiri - Ningependekeza(ingawa nafikiri hii iko tayari kwenye agenda) kuwepo na minute taker ambaye angeweza email kila mtu action points baada ya kikao
Many thanks
Mkuu kama kuna mzunguko wowote wa taarifa naomba nikumbukwe...tangu kikao cha B point kimepita niko mweupe kabisa wa taarifa...Kikao kimefanyika kwa mafanikio makubwa, minutes zitatumwa kwenu, summary ya kilichoamuliwa nimesha watumia kwa mail zenu jioni hii. Na pengine kesho Mkeshahoi/Nm watawapa minutes.
Karibuni sana.