Laptop yangu imekata sauti ghafla naomba msaada

Mtoboatonge.

JF-Expert Member
Apr 16, 2013
235
70
Naomba msaada wanajamii Laptop yangu aina ya DELL imekata sauti ghafla mara tu baada ya kuchomeka waya ya two in one ili kuunga kwenda kwenye Subwoofer.

JPEG_20200419_204522_4192707428458772810.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
USIJARIBU KUTUMIA SEHEMU YA EAR PHONE HATA SIKU MOJA KUUNGANISHIA SURBWOFER LAZIMA TU LAP TOP ITAKUFA SAUTI.
TAFUTA KIDUDE FLANI KIKO KAMA FLASH KINAUZWA 10,000/= HADI 12,000/= SOUND DRIVER UNACHOMEKA KWENYE USB PORT KISHA NDIO UNACONECT HUO WAYA WAKO WA 2 IN 1 UNAPATA SOUND NZURI KULIKO KUCHOMEKA SEHEMU YA EAR PHONE.

Hata sijawai kiona. Ahsante kwa ushauri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hiyo kitu ni mbaya sana mkuu inaua laptop afu wanasema hizo sound driver hazipo za kuweka ndani ya computer so utatumia sound driver ya nje miaka yote

Sent using Jamii Forums mobile app
masahihisho kidogo sio sound driver ni sound card..
sound/audio driver ni software ambayo ina communicate na sound card kwenye pc ndio upate sauti,,,
while sound card ndio physical device yenyewe..
 
Back
Top Bottom