SOLD: Laptop inauzwa bei rahisi kabisa

dealer wa HP kwa miaka hiyo Tanzania alikuwa ni red dot computer tu.hao wa kisutu sijui wapi ni feki tu walikuwa wanazitoa wanapojua wao.hazikuwa kwa ajili ya Africa.nenda red dot computers.. Kaulizie.
 
dikembe, the way dogo alivyoleta hio criticism ndio ambayo hatujaipenda. Hatukatai wala kupinga constructive criticism. Hata laptops nyingine za Lenovo, Dell, Acer, Asus, Fujitsu etc zina pros and cons zake, lakini the way hea reacted na kusema HP hazipo madukani ndio tunachokipinga. I own one since 2008 and is still going strong.
Ni kweli kaongea kwa lugha ngumu na huo ni utashi binafsi,.. Ukiangalia kwenye online market nyingi huwa wana comments kwa namna hiyo hiyo huwa hawatumii lugha ya kiungwana.

Mimi mara nyingi nikitaka kununua kitu online huwa napitia product review toka kwa certified buyer, nikiona majority hawajaipenda huwa sinunui.
 
Ni kweli lakin kwa nini akosoe wakati nwenzie anauza jamani mbona dhambi lakin
Mkuu miss chagga , muuzaji tena wa mtandaoni kama huyu sioni kama kwake ni tatizo kubwa, hizi ni changamoto tu. kila kazi ina changamoto zake. Hii pia inamsaidia muuzaji kuboresha biashara yake. Haimanishi hakuna atakaye nunua, kuna watu watanunua tu
 
Last edited by a moderator:
Ila sio vibaya kufanya review ya product, hata kwenye online market watu wanatoa comments za kusifia na kukosoa bidhaa. mnamshambulia bure huyo kijana wakusoma

Hapo ndipo utakapo gundua kuwa wote wanashambulia wakusoma wana uelewa mdogo. Laptop za kununua kwa watu tena ambao huwajui ni shida. Wengi wao unakuta zimeisha wasumbua ndio wanaamua kuuza.
 
Last edited by a moderator:
mimi nilikua natumia pavilion but nlishaiuza, tatizo analosema mkuu wakusoma ni la kweli maana nakumbuka wenzangu walikua wanaita laptop yangu JIKO kwa jinsi inavyo overheat.ila mengne yote ipo fresh tu
 
mimi nilikua natumia pavilion but nlishaiuza, tatizo analosema mkuu wakusoma ni la kweli maana nakumbuka wenzangu walikua wanaita laptop yangu JIKO kwa jinsi inavyo overheat.ila mengne yote ipo fresh tu


Maneno kuntu
 
Naona mnanishambulia.Mimi nime comment kwa jinsi ninavyozijua HP pavilion Dv series. Kosa langu liko wapi?uliza mafundi wote kuhusu pavilion dv series. Mother board zinakufa.na motherboard no $250.zilitengezwa kwa ajili ya nchi za baridi.ndiyo maana hakuna pavilion dv series dukani.zote ni used na coz hazitengenezwa kwa ajili ya Africa.

nilikua na nia ya kununua ila nimeghairi fasta.. ahsante kwa ufafanuzi murua
 
[h=1]HP Pavilion dv6[/h]RAM : 4GB
Processor : core i5
Hard Disk Drive : 500GB
DVD-RW
WEBCAM
Battery last up to 3 hours

Who come first take it first

Price: Tsh 530,000/= (negotiable)
Contact: +255769142586 call/sms/whatsapp

upon wapi?weka picha halisi ya pc yako,sio picha za kwenye web.
 
kuna acer used hapa naiuza
ACER ASPIRE 5349
HDD 320GB
RAM 2 GB
INTEL CERELON 1.8 GHZ
WEBCAM.WIFI, DVD RW
4 USB PORT, HD DISPLAY SCREEN
FOR 300,000TSH
UBUNGO
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom