miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,821
- 48,976
Mamy ushasikia wataalamu wanavyisemea ooh! mara battery mara Motherboard mimi neh! neh!
Jamni wewe kwa nini
Mamy ushasikia wataalamu wanavyisemea ooh! mara battery mara Motherboard mimi neh! neh!
Ni kweli kaongea kwa lugha ngumu na huo ni utashi binafsi,.. Ukiangalia kwenye online market nyingi huwa wana comments kwa namna hiyo hiyo huwa hawatumii lugha ya kiungwana.dikembe, the way dogo alivyoleta hio criticism ndio ambayo hatujaipenda. Hatukatai wala kupinga constructive criticism. Hata laptops nyingine za Lenovo, Dell, Acer, Asus, Fujitsu etc zina pros and cons zake, lakini the way hea reacted na kusema HP hazipo madukani ndio tunachokipinga. I own one since 2008 and is still going strong.
Mkuu miss chagga , muuzaji tena wa mtandaoni kama huyu sioni kama kwake ni tatizo kubwa, hizi ni changamoto tu. kila kazi ina changamoto zake. Hii pia inamsaidia muuzaji kuboresha biashara yake. Haimanishi hakuna atakaye nunua, kuna watu watanunua tuNi kweli lakin kwa nini akosoe wakati nwenzie anauza jamani mbona dhambi lakin
Mi hapa nafanya biashara sijaja kufanya review ya laptop, kama unazijuwa sana nenda jukwaa la tech & gadgets kaelezee huko wakuelewe, unaelezea ubaya wa bidhaa dukani kwa mtu mbele ya mteja?.
MUNGU ATAKULIPA.
Ila sio vibaya kufanya review ya product, hata kwenye online market watu wanatoa comments za kusifia na kukosoa bidhaa. mnamshambulia bure huyo kijana wakusoma
Dah pole sana my dear utapata tu mteja usijali
zile laptop kuu kuu za HP kama 6730b. Pro book....
zinapatikana wapi?
mimi nilikua natumia pavilion but nlishaiuza, tatizo analosema mkuu wakusoma ni la kweli maana nakumbuka wenzangu walikua wanaita laptop yangu JIKO kwa jinsi inavyo overheat.ila mengne yote ipo fresh tu
Pro book zilizokwishatumika zipo kkoo mkuu, unaitaka nikuulizie?
Naona mnanishambulia.Mimi nime comment kwa jinsi ninavyozijua HP pavilion Dv series. Kosa langu liko wapi?uliza mafundi wote kuhusu pavilion dv series. Mother board zinakufa.na motherboard no $250.zilitengezwa kwa ajili ya nchi za baridi.ndiyo maana hakuna pavilion dv series dukani.zote ni used na coz hazitengenezwa kwa ajili ya Africa.
[h=1]HP Pavilion dv6[/h]RAM : 4GB
Processor : core i5
Hard Disk Drive : 500GB
DVD-RW
WEBCAM
Battery last up to 3 hours
Who come first take it first
Price: Tsh 530,000/= (negotiable)
Contact: +255769142586 call/sms/whatsapp
Sio kaharibu soko anasema ukweli palipo ukweli usemwew
uzi wa mwaka 2014 we unasema muwasiliane leo? duh. nicheck PM nikupatie laptop nzuri au angalia uzi wangu wa nyumaTuwasiliane mkuu