LAPF acheni ubabaishaji na usanii kwenye ajira zenu

MASTERSERIES

Member
Jun 11, 2015
18
6
Jana jumatatu SAA kumi na moja jioni nilipigiwa simu na mtu wa LAPF kuwa natakiwa kuhudhuria interview Dodoma jumatano tareh 16/09 saa tano asbuhi.sasa maswali ya kujiuliza:
1.hivi mtu huko Dar unapigiwa simu jioni utajipanga saa ngapi ili kesho uanze safari ukizingatia ofisi zimeshafungwa na ruhusa huna?
2.inaonyesha wana mtu wao waliyemuandaa Ina maana huyo MTU ni kilaza Sana kiasi wanaogopa competition kwa hiyo wanabana muda ili watu tusiudhurie na huyo mtu waliyempanga apate kilaini !mjifunze wenzenu wanachakachua mwishoni!
3.Huyo mtu mliyemtuma apige simu customer care ni zero mumfundishe Kazi anaulizwa swali kuhusu ni wapi mtu apeleke malalamiko yake anajibu jeuri!
Siku nyingine mtoe muda wa kutosha kwani sio kila mtu yuko Dodoma!LA sivyo itabidi uko mbeleni na nyie mkutane na MABADILIKO either ya JPM au ENL
 
Kiongozi post gani? Mimi binafsi nimepiga mpaka oral last two months post ya compliance officer lakini chakushangaza hawana hata feedback kua umefanikiwa ama hukufanikiwa!
 
Jana jumatatu SAA kumi na moja jioni nilipigiwa simu na mtu wa LAPF kuwa natakiwa kuhudhuria interview Dodoma jumatano tareh 16/09 saa tano asbuhi.sasa maswali ya kujiuliza:
1.hivi mtu huko Dar unapigiwa simu jioni utajipanga saa ngapi ili kesho uanze safari ukizingatia ofisi zimeshafungwa na ruhusa huna?
2.inaonyesha wana mtu wao waliyemuandaa Ina maana huyo MTU ni kilaza Sana kiasi wanaogopa competition kwa hiyo wanabana muda ili watu tusiudhurie na huyo mtu waliyempanga apate kilaini !mjifunze wenzenu wanachakachua mwishoni!
3.Huyo mtu mliyemtuma apige simu customer care ni zero mumfundishe Kazi anaulizwa swali kuhusu ni wapi mtu apeleke malalamiko yake anajibu jeuri!
Siku nyingine mtoe muda wa kutosha kwani sio kila mtu yuko Dodoma!LA sivyo itabidi uko mbeleni na nyie mkutane na MABADILIKO either ya JPM au ENL
haya ndio maeneo yanahitaji KUFANYIWA MABADILIKO na ambapo serikali ya awamu ya tano inatakiwa kuanza nayo,haiwezekani mambo ya kihuni kama yalivyoelezwa hapo juuyaendelee kuvumiliwa katika ofisiza umma mtu anafanya usanii hata mtoto wa darasa la pili anaona hayo ni mazingira ya kubeba candidates Fulani yanajengwa waziwazi.Naomba PCCB waanze kulifanyia kazi jambo hili ili upepo wa MABADILIKO uje kufanya maamuzi sahihi
 
Back
Top Bottom