Landlord's shenanigans

stewie

Senior Member
Sep 30, 2019
116
279
Imekaaje landlord kukuambia ataanza pokea rent ya mwaka badala ya miezi 6!? Mfano ni wewe how would you react !!
 
Huhitaji kureact in negative way.Hali kama hyo ndio iliyowafanya wengine waanze mipango yakutaka kujenga..,best solution ya haraka nikuhama hapo.
 
mwambie huwezi akupe notisi ukae bure miezi 3 akileta kiburi mpeleke polisi nyambafuu kabisaa.

au na wewe mkuu usikute kila siku unapika maini na mchele wa kyela unaonukia. mayai ya kienyeji asubui mzee akaona huyuu anahela
 
hakai hapa hata boss
 
Huhitaji kureact in negative way.Hali kama hyo ndio iliyowafanya wengine waanze mipango yakutaka kujenga..,best solution ya haraka nikuhama hapo.
Ni kweli, ila mziki wa kuhama sio poa but life should go on!
 
Back
Top Bottom