Lance armstrong na usain bolt......

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,899
Baada ya ukweli kujulikana kuhusu Lance Armstrong .....

nimekuwa najiuliza.....what about Usain Bolt?....

hatumii madawa?

na kama anatumia...ni hadi lini ukweli utakuja kujulikana?
 
The Boss hapo ni balaa ikija kujulikana kuwa anatumia
Inawezekana anapewa bila hata yeye kujua
Ila kwa umaarufu Usain Bolt aliofikia na kuja kuambiwa kuwa anatumia madawa ni balaa
Unamkumbuka yule mwanadada wa kimarekani Marion Jones nae alikuwa maarufu sana kwenye mbio za mita 100 naye yalimkuta haya haya ya madawa na ikawa ndio mwisho wake
 
Last edited by a moderator:
madawa anayotumia Hussein Maboliti(hilo ndio jina lake halisi,alikuwa jirani yangu zamani pande za tandika sokoni,alikuwa fundi gereji akazamia jamaika na kuibuka na jina USAIN BOLT) ni yale mamiguu yake marefu!
 
Wabongo mnapenda kuwawekea watu zengwe.
Semeni na Messi, David Rudisha, Ronaldo et al nao wanatumia madawa...
 
The Boss hapo ni balaa ikija kujulikana kuwa anatumia
Inawezekana anapewa bila hata yeye kujua
Ila kwa umaarufu Usain Bolt aliofikia na kuja kuambiwa kuwa anatumia madawa ni balaa
Unamkumbuka yule mwanadada wa kimarekani Marion Jones nae alikuwa maarufu sana kwenye mbio za mita 100 naye yalimkuta haya haya ya madawa na ikawa ndio mwisho wake

Pamoja na yule sprinter maaarufu wa Canada Ben Johnson naye yalimkuta hayo
 
yule madawa anayotumia ni kula sanaa mandizi aka mabanana pamoja na kutumwa sana dukani si unajua eneo lao linaruhusu
 
ah mie niliumia sana pale walipokuja sema kuwa marion jones anatumia madawa...nikakosa imani kabisa katika wakimbiaji.
 
Inawezekana Lance Amstrong yeye kama yeyer hakuwahi kula hayo makitu....atakuwa alipewa indirectly bila yeye kujua ndio maana ameendelea kukataa pamoja na vipimo kuonyesha kuwa alikuwa akitumia madawa ya kumpa nguvu!
BTW, Tour de France ilikuwa nezi za Amstrong...sasa hivi wote wanaboa... I still feel Amstrong.
 
Seriously, mashindano ya basikeli yana kuboa na kufurahisha?
 
Yeah yaneshuka kiwango sana sio kama zamani....

Ndo yanaboaje yani? Mfano kwenye soka kipimo cha mchezo mzuri ni pasi za uhakika na timu kumiliki mpira, wareno wanaita 'Joga Bonito', Waingereza wanasema 'Beautiful display'. Inapendeza zaidi ikiwa ni culture ya timu au mashindano as whole. Kinyume na hapo tunasema mpira hauna mvuto.
Sasa kwenye baiskeli inakuwaje sasa?
 
Back
Top Bottom