Lakuvunda Halina Ubani .

Babylon

JF-Expert Member
Feb 5, 2009
1,332
82
DSC00441.JPG
Dada huyu ameshuka katika gari na kuanza kutembea bila shida katika mazingira ya "public".inasemekana alikuwa anatokea kwenye fiesta kuelekea Dar.wapi maadili?
 
Amewaona kwenye Tv akaona naye ajifananishe! Kweli amependeza hadi watu wanamgeukia kama hawana akili nzuri.
 
hizo ni swagg za mabinti...unamshangaa huyo hujawaona kina Wema na yule mwenzake kinyago cha mpapure wanavyoonesha maungo yao kwa kadamnasi kwenye majukwaa ya Fiesta!!
 
Back
Top Bottom