PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,203
- 8,725
Ni nini hii maneno?
Ni wapi palipoanzia kuharibika?
Na je wakati huo tulikuwa wapi, hadi mambo yanafika huku?
Ni jana tu, ndugu na jamaa yangu huyu, alipata simu ya kufiwa na babake mzazi huko kwao Mbeya, akakusanya familia yake(mke na watoto), wakaondoka Dar kuelekea eneo la tukio, wakiwa na usafiri binafsi.
Wakiwa wanapita eneo la Mikumi usiku wakavamiwa na majambazi, wakaporwa kila walichokuwa nacho(fedha, simu, documents, mabegi etc), wakaachwa hawana msaada.
(true scene, nimepigiwa leo)