laiti kama ´avator´zingelikuwa za ukweli...!

Sema ubavu
wangu wa kwanza
Hahahahahahahah lol

Kama TF asingenishtua
Hii ingenipita mpenzi..

Nway yule
Jamaa ambae nilikueleza
siku ile anadhani mie namdanganya
ansema hakuna cha ujirani lazima tuwe dam dam
hahahah lol
Unamaanisha blood blood aisee hii haikubaliki kama Malaria muda si mrefu mtu ata:rip::rip::rip:
 
Unaweza kukosea jina lamungu na kuniita soshi lakini huwezi kuipotea sura yangu pindi utakaponiona coz I am real na ninareflect avatar yangu na wapo humu JF wanaonijua napenda mimi kuwa mimi sipendi kujificha kwenye shamba la karanga.

hongera kwa hilo ... umtumia jinalako halisi na picha yako halisi
 
Unamaanisha blood blood aisee hii haikubaliki kama Malaria muda si mrefu mtu ata:rip::rip::rip:

Hahahahahahahah lol
Sisemi kitu muulize MR lol

Nway
unajua leo siku nzima naingia
JF naona kuna magari mawili yametulia
Upande wa kulia kwenye page ya JF..
nway si unajia ni jinsi gani niatakavyo kupenda
ukinichukulia moja .. hahahshhah lol
Nilitaka kukuuliza kwenye bday lakini mbali sana
hahahshhah lol
 
Hahahahahahahah lol
Sisemi kitu muulize MR lol

Nway
unajua leo siku nzima naingia
JF naona kuna magari mawili yametulia
Upande wa kulia kwenye page ya JF..

nway si unajia ni jinsi gani niatakavyo kupenda
ukinichukulia moja .. hahahshhah lol
Nilitaka kukuuliza kwenye bday lakini mbali sana
hahahshhah lol
Ahaaa ahaaa lol hebu chagua hilo AUDI SQ7 upande wa kushoto then send me all the necessary details nifanye transfer of funds haraka sana
 
Kwa kweli
kila sunrise na kila sunset
ni vema kumshukuru atupaye uhai
nway hope every thing is going perfectly fine now
Na princess anaendelea vizuri..

Nway mie niko fresh sasa
Lakini kama wikimbili sasa dunia ilinichukia
Mmhhh

Princess hajambo anaendelea fresh na shule juzi juzi kaingia miaka minne nahisi shikamoo zitaanza kushika kasi.........
 
dah...DA..ww ni editor wa gazeti gani...? UHURU bila shaka...!thank u any way...!
 
Mkwaruzo...dear we men are attracted by what we see....! thats biological...!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom