Lady Jay D na nyumba yake ya ajabu

Nashauri threads kama hizi ziwe nizapigwa chini maana zinajaza servers tu!!! Pia zinaonyesha jinsi tulivyo tayari kuwa very low simply kwa sababu ya vijiba
 
We have differents taste for everything. Diversity is about appreciating and respecting someones taste!!!! Lets be diverse guys. Angefanya mzungu, wala msingeongea, mngesifia tu wengine!!!! That is diversity and that applies to all racials.
 
Its official huyu sista HANA TASTE na kusema ukweli sielewi hiyo rangi nyekundu inafanya nini mle ndani.

Anyway

picha hizi hapa

http://issamichuzi.blogspot.com/2008/02/nyumbani-kwa-nanihii.html#comments

Page not found

Sorry, the page you were looking for in the blog MICHUZI does not exist. Go to blog homepage


Home | Features | About | Buzz | Help | Discuss | Language | Developers | Gear
Terms of Service | Privacy | Content Policy | Copyright © 1999 – 2010 Google

Hakuna hiyo kitu hapa bana!
 
'Beauty is in the eye of the beholder' wacheni hizo kwani haya kwa zamani ni mambo ya?)*&^% . Au ni wivu wa aina fulani???? kipindi cha nyuma kulikuwa na issue ya yeye kutamani siku moja kuwa na ndege yake mkaanza kumsema
Please let her be what she wants to be just as we are want we want to be.
 
m/mke heshima ukiitwa mama...nyumba kitu gani....

Tema mate chini na umuombe Mungu msamaha!Sijui kama una utu kweli wewe!'Premium member'....kweli hapo lazima mtu ujiulize maswali mengi!Hayajakukuta na umuombe Mungu yasikukute!Hilo moja.

Pili,decor taste ni ya mtu mwenyewe.Ngoma si yako,inakuwasha nini?Tusichangie thread ili mradi tu tuonekane tumesema kitu.If she is comfortable with it,na ameipaka kwenye nyumba yake,wewe yakuuma nini?Au kwa sababu yeye ana nyumba wewe huna?I believe one thing haters hawataacha kusema....!Let her live her own life na kazi yake na wewe endelea kujenga maisha yako!It is stupid kwa hali ya kiuchumi sasa hivi mtu unakaa na kuangalia Jide amepaka rangi gani kwenye nyumba na ku-comment vitu vingine!Grow up,wake up!
 
kweli kila'mtu'anamtazamo wake tofauti kwahio hiyo ndio inatufanya tuwe na furaga dunian
 
MTM umenena vyema mkuu.
Umri bado anao Jide, so watu wanaokurupuka na kuanza kuropoka raha ya nyumba m'mke aitwe mama ni wapuuzi.
Kila kitu huenda kwa mipango, hata nyumba huanza na ramani, na si kukurupuka kama mpumbavu.

Na kuhusu swala la rangi pia ni wapuuzi wanaopinga.
Kwani iliandikwa wapi kwenye bible au msahafu kuwa nyumba ni lazma ipakwe ndani rangi ya blue, nyeupe au cream?

Hiyo rangi nyekundu angeipaka sanaa lathan, au salma hayek au angelina julie wabongo nyienyie mngekurupuka na kuanza kutafuta zinapouzwa
Ila kwa kuwa kapaka binti wa kizanaki basi mnajifanya kupinga...
Acheni ushambenga wanafiki wakubwa nyie


Samahani am just curious...Hivi huyu binti si mkurya? Jina la Wambura ni wakura hao. I might be wrong.
 
kwan babaako ndo alimpa hela ya ujenzi,acha u ---- nyumb yak rang yake so wht.jenga yako.umepanga rum 1 hata dal haina
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom