Lady from rocky city

sasa unamtaka kimapenzi, nafasi ya kazi, nafasi ya u-miss, unataka kuoa, msichana wa kazi za ndani au just a friend? mwaga data zaidi
 
sasa unamtaka kimapenzi, nafasi ya kazi, nafasi ya u-miss, unataka kuoa, msichana wa kazi za ndani au just a friend? mwaga data zaidi

Kipindi niko Ordinary Level 2lifundshwa b4 ndoa lazma uptie ngazi kuu tatu.
  1. URAFIKI
  2. UCHUMBA
  3. NDOA
So it jst friendship
 
sasa unamtaka kimapenzi, nafasi ya kazi, nafasi ya u-miss, unataka kuoa, msichana wa kazi za ndani au just a friend? mwaga data zaidi

Hahahahahahhahah
dahhh una vituko
lakini maswali mazuri sana
 
Unanshangaza! si useme tuu mkorogo unaukubali.

Haaaaaaaaaa haaaaaaaaaaaaa, napenda klcho bora na asilia. Huo mkorogo nafsn mwangu haupo kabsa najua wanawake wamebaki wachache wenye rangi zao ASLIA
 
This is too idealistic! Which computer application/pachkage would you like to feed this information?

SPSS
Ecxel

e.t.c. I am sure, you will get a perfect match!!! Tehe tehe tehe, just thinking aloud!
 
Ungeenda mwanza kabisa humu unawaumiza wengine wenye interest
 
Haaaaaaaaaa haaaaaaaaaaaaa, napenda klcho bora na asilia. Huo mkorogo nafsn mwangu haupo kabsa najua wanawake wamebaki wachache wenye rangi zao ASLIA

Sasa msukuma "white" katoka wapi? au wale wamanga wa usukumani? maana wale kweli asili yao waOman lakini mnhhh, ni wasukuma kwisha kazi. Tena wengi wamechanganya, sasa na hao wakuchanganya ndio wamo katika kundi la "white"?
 
Makoye ga mbiti!!! haya mie msukuma at last zali limenidondokea, nanusa harufu ya pilao
 
Makoye ga mbiti!!! haya mie msukuma at last zali limenidondokea, nanusa harufu ya pilao

Uskmblie HARUFU ya Pilau. Zingatia Vigezo. Kama hjaviona lejea hapo juu, na pia lazma three stages zptiwe.

  1. URAFIKI
  2. UCHUMBA
  3. NDOA
OTHER WISE ...........................................................
 
Attachments

  • DSC01421.JPG
    DSC01421.JPG
    385.7 KB · Views: 35
Back
Top Bottom