Ladies naona urembo kweli kazi he he !

mhh huyu kapewa umbea ulomsononesha nafsi yake ndo maana chozi zito la uchungu linamtoka japo anajaribu kulizuia,si unajua masaloon yalivyojaa umbea wa mjini:lol:
 
Me naona kama amelazimishwa kunyolewa kwa nguvu na mkasi.labda mume anmeona urembo wake wa nywele unamtia hasara.

He!Hii nayo inawezekana kabisa maana naona kitu kama mkasi kwa nyuma, na huo ushikaji wa nywele mmh, ina wezekana ananyolewa madada wa watu bila ridhaa yake
 
hapana hapo anasukwa kwa meno na kufumwa kwa ulimi asa jamaa kampagawisha mrembo anataman mumewe awe anafanya hvyo huon kama anacheka
 
kama sikosei,hii ilikuwa america next top model,warembo wote walikuwa wanabadilishwa style ya nywele,wengine wanakatwa.kuna waliopenda na wasiopenda,huyu ni mmoja wapo asiependa.
 
biana-makeover-antm.jpg

:ranger::party:dugumoning !

hali kwa kusukwa ila ametendwa na mpenzie ambaye alikuwa akijiremba kwenda kwake lakini sasa ataenda wapi akitoka kusuka,
 
jamani picha haionyeshi hadi chini, tunaonyeshwa nywele tu, hatujui kakalia nini? labda ndo kinachomliza!!!!!!!!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom