Ladies naona urembo kweli kazi he he !

FirstLady1

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
16,792
5,374
biana-makeover-antm.jpg

:ranger::party:dugumoning !
 
Si urembo ndo sababu ya kulia...ni kwa sababu kapima afya majibu si mazuri.....Ebu angalia na nywele zilivyokatika.
 
Kanyimwa hela na bwana, sasa anaona uchungu kutumia zake anazobana kwenye bajeti ya mboga!
 
hapo ni anajiangalia kwenye kioo kaona hajapendeza ka alivotegemea ndo akaanza kulia..................
 
Me naona kama amelazimishwa kunyolewa kwa nguvu na mkasi.labda mume anmeona urembo wake wa nywele unamtia hasara.
 
Huyu most probably kuna kitu kimemuudhi sana huko nyumbani.Sasa ili kujiliwaza kaona akajirembe huko salon.Lakini katikati ya Urembo huo mawazo yanamjia anabubujikwa na machozi.Kwani kina dada/mama hili halijawahi kuwakuta?

Kuna siku niliona mama mmoja yuko Moevenpick na watoto wake wanakula lunch.Kajipamba sana ila alikuwa amevaa shades nikadhani ni urembo tu.Kumbe nyuma ya hiyo miwani mikubwa alikuwa kaiva macho kwa kulia.

Akina baba/kaka mnatupelekaga pabaya sana mjue!

Oneni sasa! Huo mchozi siyo wa maumivu ya kurembwa wala siyo wa kulazimishwa kunyoa nywele maana hapo naona process ya Touch-up kwenye highlights ikiendelea na touch up hiyo kwenye salon za uhakika si chini ya 40,000/=
 
WOS nadhani wewe uko sahihi kabisa ...
 
Huyu kapigwa biti na bwana akanyoe cz
amekuwa akitoka akiulizwa anasema alikuwa saloon
WAKATI SI KWELI.

ANALIA HANA SABABU NYINGINE YA KUTUMIA.
 
Huyu most probably kuna kitu kimemuudhi sana huko nyumbani.Sasa ili kujiliwaza kaona akajirembe huko salon.Lakini katikati ya Urembo huo mawazo yanamjia anabubujikwa na machozi.Kwani kina dada/mama hili halijawahi kuwakuta?

Kuna siku niliona mama mmoja yuko Moevenpick na watoto wake wanakula lunch.Kajipamba sana ila alikuwa amevaa shades nikadhani ni urembo tu.Kumbe nyuma ya hiyo miwani mikubwa alikuwa kaiva macho kwa kulia.

Akina baba/kaka mnatupelekaga pabaya sana mjue!

Oneni sasa! Huo mchozi siyo wa maumivu ya kurembwa wala siyo wa kulazimishwa kunyoa nywele maana hapo naona process ya Touch-up kwenye highlights ikiendelea na touch up hiyo kwenye salon za uhakika si chini ya 40,000/=

You are absolutelly correct, ingekuwa maumivu ya nywele tungeona angalau shingo haikunyooka hivyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom