Muoga weye.Habari za kutingisha vibiriti sio nzuri, ukimwaga njiti shauri yako.
Uking'ang'ania kwenda ae ofisini kama sio mtu wa kukaa baa utajuta, utapiga mihayo mpaka kesho yake hurudii tenaBaada ya kuangalia hii clip nimekumbuka kitu. Kuna mtu alinishauri kuwa si vizuri kutumia magari tofauti kwenda kazini kama hakuna ulazima wa kufanya hivyo. Kwa kweli na mimi hilo nimeona ni tatizo katika ndoa nyingi. Mababa wengi wanaotumia usafiri tofauti na wake zao ndio wale kutwa kuwapa mabinti lifti na ndio wale wanaorudi saa nane za usiku toka kazini. Unakuta mtu anakaa mbagala lakini kila akitoka kazini lazima apitie mwenge!
Usinifanyie hivyo mtoto wa mwanamke mwenzio hata G hapendi
Muoga weye.
Mimi nilitaka utingishe ziwake moto kabisanitakutingishia siku moja nione.
I wil take you to ZooG....???Wewe endelea kunikumbusha kwanini nimekasirika!
I hate monkeys!Ila kweli we kuna kitu...acha ninyamaze tu ila..!I wil take you to Zoo
Patient:
If you love someone, Set her free ...
If she doesn't come back,
continue to wait until she comes back ...
hii mie ndo naiogopa dahhh
vipi asipo rudi kimoja kimoja mmhh
halafu hapo miaka 50 baadaye bado unasubiri tu daahh
mii mie sitaki ntajisikia vibaya sana nikisikia ka kuna aliefanya hivi..
Mmenichekesha sana. Naendelea kukusanya data za ka research kangu.
Foleni zimesaidia wanaume kupata sababu za kuchelewa kurudi nyumbani
Kumiliki magari zaidi ya moja kumechangia wanaume kuchelewa kurudi nyumbani
BUT: Wanawake nao wanafanya kazi na wanapita barabara hizo hizo zenye foleni lakini wao wanawahi kurudi nyumbani
Watoto wanampenda na kumjua MAMA zaidi kwa sababu anawahi kurudi nyumbani
vizuri na nimefurahi kusikia kuna wenye moyo hivyoAfrodenzi wapo am telling you, but the good thing ni wachache mno na siku zinavyozidi kwenda wanazidi kupungua pamoja na uchache wao; mana vitu vya kumpush mtu kua katika mahusiano vimekua kwa kasi. si umeona siku hizi unakuta dogo ana 14 years na ana engage katika sexual intercourse ki ufundi kabisa. sijui tunaelekea wapi?
Be patient nitarudi sawaPatient:
If you love someone, Set her free ...
If she doesn't come back,
continue to wait until she comes back ...
hii mie ndo naiogopa dahhh
vipi asipo rudi kimoja kimoja mmhh
halafu hapo miaka 50 baadaye bado unasubiri tu daahh
mii mie sitaki ntajisikia vibaya sana nikisikia ka kuna aliefanya hivi..
Be patient nitarudi sawa