Ladies know ur man - usitingishe kibiriti ovyo

Just interelated concepts and generalization, work under ones perception it does'nt mean the fact, if you believe can be but luv does'nt have a formul needs personality to be strong.
Just my presentation
 
ndo maana Asha nikasema kuwa , unless uwe unaifahamu hiyo mizunguko yake!
lakini tambua kuwa mizunguko hiyo ni tofauti kabisa na hiyo attitude unayoiongelea,
sio lazima uwe kwenye mizunguko ndo ufanikishe hayo?
safari yako tu ya asubuhi ya kwenda kazini inaweza kuhitimisha hayo yote,
kama umeamua kufanya hivyo!!!!!!!!
Then nikarudi nyumbani straight!!!!!!!!!kama concept tunayozungumza hapa ni mizunguko,
sorry....................

Nimekuelewa. Ila hujanipata, naomba jibu swali moja kwa moyo safi; wewe unafanya kazi posta na huna shughuli yoyote ambayo umenishirikisha me as your wife kua iko huko mwenge but kila siku ya mungu lazima upite, is it not grounds za mimi ku suspect?
 
Linda mali yako, mabinti wazuri mithili ya akina Minaj, Knowles, Jolie, ambao kazi yao ni kufurahisha tu mwanaume hata kama ni bure wanazaliwa kila siku hapa town- sijui wanatoka wapi! Unafikiri naweza shindana nae mimi ninae wahi ofsini nangalia your four kids na kuweka nyumba sawa? once akikukwapua kazi kweli kweli kukurudisha. Wasiwasi ni proactivation ila tu haitakiwi kukithiri.

at last I can now guess,
where you are heading to..........................
 
Just interelated concepts and generalization, work under ones perception it does'nt mean the fact, if you believe can be but luv does'nt have a formul needs personality to be strong.
Just my presentation

Thank you, But I would really like you to know kua ndoa kibao hapa mjini couples dont love one another mostly they need one another, na hivyo kuchangiwa kwa kiasi kikubwa kucheat; hivyo kupelekea fikra hizo.
 
Linda mali yako, mabinti wazuri mithili ya akina Minaj, Knowles, Jolie, ambao kazi yao ni kufurahisha tu mwanaume hata kama ni bure wanazaliwa kila siku hapa town- sijui wanatoka wapi! Unafikiri naweza shindana nae mimi ninae wahi ofsini nangalia your four kids na kuweka nyumba sawa? once akikukwapua kazi kweli kweli kukurudisha. Wasiwasi ni proactivation ila tu haitakiwi kukithiri.
True abiria chunga mzigo wako well wasiwasi ni proactivation ila hautakiwi kuzidi kipimo,nitachelewa dear leo si unajua na hizi mvua usinune basi sawa?
 
Nimekuelewa. Ila hujanipata, naomba jibu swali moja kwa moyo safi; wewe unafanya kazi posta na huna shughuli yoyote ambayo umenishirikisha me as your wife kua iko huko mwenge but kila siku ya mungu lazima upite, is it not grounds za mimi ku suspect?

orait, suspect inaweza kuwepo katika mazingira hayo,sikatai!!!!
lakini Asha kumbuka kuwa style za maisha za ndoa ni tofauti baina ya watu,
sio wanandoa wote huambiana kila kitu, na bado maisha kwao yanasonga vizuri tu,
kuna wengine wanandoa hufuatana kila kona, kila mahali na wakati wote,
je is this happen to all marriage couples?
Jinsi anavyoishi Mwinyihaji na mkewe, sio lazima afanane na Mwinyipembe na mkewe!!!!!!!
 
Thank you, But I would really like you to know kua ndoa kibao hapa mjini couples dont love one another mostly they need one another, na hivyo kuchangiwa kwa kiasi kikubwa kucheat; hivyo kupelekea fikra hizo.

Sorry, hivi Asha utajuaje kuwa wanandoa wanapendana?
kwa kuangalia matendo yao ya nje au ni kutoka mioyoni mwao?
Napenda nifahamu hapa kuwa matendo ya nje baina ya wanandoa,
yanaweza yaka conclude kama upendo wa wanandoa unaexist au la?
 
at last I can now guess,
where you are heading to..........................

At last!!! Please come straight home baba watoto or else nijulishe hua nakua na wasi wasi may b umepata pancha na vibaka hawa sitakaki hata ku imagine ....
 
True abiria chunga mzigo wako well wasiwasi ni proactivation ila hautakiwi kuzidi kipimo,nitachelewa dear leo si unajua na hizi mvua usinune basi sawa?

Usijali siwezi nuna, ukitoa taarifa walau nakua na amani
 
At last!!! Please come straight home baba watoto or else nijulishe hua nakua na wasi wasi may b umepata pancha na vibaka hawa sitakaki hata ku imagine ....

asante mama kwa kujali kwako,
tutaliweka mezani hili tulizungumze!!!!!
 
Usijali siwezi nuna, ukitoa taarifa walau nakua na amani

Kumbe Asha,
hawa akina Niki Minaji, Rihana wa hapa mjini
ndo wanaokutishia amani hivyo?
kwani imani uliyonayo kwa baba watoto imepotelea wapi tena?
 
Sorry, hivi Asha utajuaje kuwa wanandoa wanapendana?
kwa kuangalia matendo yao ya nje au ni kutoka mioyoni mwao?
Napenda nifahamu hapa kuwa matendo ya nje baina ya wanandoa,
yanaweza yaka conclude kama upendo wa wanandoa unaexist au la?

Huwezi jua mtu anawaza nini au nini ana feel hasa kwa wanaume. Matendo ya mtu anae fanya pretense yana last mda mfupi sababu pretending in kazi ambayo inamchosha mtu psychologically na physically - hio ni moja ya traits kukufanya ujue kama mapenzi bado yapo. Matendo ya nje hayajitoshelezi ku conclude upendo.
Mfano kuna guys anakua na wife na hawara pia lakini humwambii lolote kuhusu mke wake akakuelewa, kwake yeye the wife and family daima ni first place and priority, these types of guys hawara anopomfanyia vurugu au tu kuji introduce the hawara anaachwa hapo hapo na kua replaced na hawara mwingine.
Mfano mwingine the same above guy haambiwi lolote juu ya the hawara, mke akisikia akaja juu anamvurumusha na the hawara ndo anakua mother house. Kwa hiyo ni kweli sometimes matendo ya nje yanachangia ku conclude
 
Kumbe Asha,
hawa akina Niki Minaji, Rihana wa hapa mjini
ndo wanaokutishia amani hivyo?
kwani imani uliyonayo kwa baba watoto imepotelea wapi tena?

Amani haijapotea kabisa, bahati mbaya nakumbuka for the first time aliniona aling'ang'ania nimpe # - na jamaa nimshawishi na vigezo anavyo (Nilikua mimependeza na kuvutia mno na mme alikua among mayb 6 guys walokua na guts za kuni approach siku hio). Nililikoroga kabisa nilipothubutu kulala nae, my God there and right there I knew i loved him.... Sasa Bacha siku zinazidi kwenda nimemzalia kids (ila sijachiachia) but I know kuna gals wazuri kama na kuliko mimi wanammendea kwa nguvu zooote.

And my husband is only flesh and blood.
 
True abiria chunga mzigo wako well wasiwasi ni proactivation ila hautakiwi kuzidi kipimo,nitachelewa dear leo si unajua na hizi mvua usinune basi sawa?

Nimekasirika!

Back to topic...kama mtu hataki kushikwa mwache aende!Hata asiporudi ni kwa faida yako zaidi!
 
We both need to know each other..akichapa lapa, aende tu!..sing'ang'aniagi kiumbe cha mtu!!..nikimpenda mtu namwonesha mapenzi ya kweli la siyo kumzingira tena kama hashikiki...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom