Ladies, Can You Kneel Down For Your Husband Openly?

Love is all about compromising. If you had come from a culture where there was no tongue kissing on the menu, or husbands didnt buy their women cars. Would you refuse the change?
If my culture allowed then it means I am accustomed to it. And now that I don't it sounds like pulling off my arm to please a man.
 
I do....!!!

good ,katika mazingira gani?
Mind you, sijasema mie napiga goti. Hata la kuigiza huwa nasahau. Lakini ni utamaduni tu wa background yangu, ila ningekutana na mpenda goti mbona easy tu? Kuna mtu anapenda snaa kuamkiwa shkamoo, nikaona isiwe kesi. Mshkaji kanizidi 15 yrs, japo we work and feel same level. Nikaona why not, tuko peace kabisaa.

yeah! nimekuelewa sana ndiyo maana nikamalizia na kusema hiyo ni mutual respect and understanding , haina tofauti na nikikutana na mwanamke anapendwa kudekezwa halafu nikatae kumdekeza wakati kwa kumdekeza huko i wont loose anything zaidi nitagain her love ,trust ,care , na nitamridhisha nafsini.
 
I had this conversation with a friend of mine and she‘s like she can never and will never do it! Men are not worth it bla bla bla...
I was like what the heck! This is absolutely the peak of pride!
What‘s the big deal? After all he‘s your husband (your head).
My question goes to all the ladies in the house both married & unmarried. Can you kneel down for your husband openly?
Is anything wrong in doing that? Or I‘m the one not seeing things right.
NOTE: This question might not apply to people that kneeling down is not part of their culture.
Thanks.
Kaka that is abusive .upigiwe magoti are you kidding me .African men are not worth it ,very hard looking,no
Cash ,vitumbo vya chips ,mpaka ufike kwake mpaka uruke mifereji ya maji.pleseeeeeeeeeeeeeee
 
Im not from a culture of kneeling, but i would. I dont mind doing it. Its like saying shikamoo to him asubuhi na jioni. It doesnt take a piece off my mouth, sio? I can show him respect without kneeling. We argue like adults, we joke, we laugh and we fight too. WITH RESPECT!

Culture!!!honey it is called emotional Abuse
 
my dear goti linabigwa kwa Mungu tu, hakuna ruhusa ya kumuabudu binadamu, kwani Mungu wetu ni mwenye wivu!

It sound creepy and extremely insecurity,controlling and narcissistic .Uwiiiiiii stay away from psychopath .I worship God only ,I fear God only .wanaume piece of work
 
goti linaloongelewa kwenye biblia ni la unyenyekevu. Haina maana lazma upige goti physically. Ni unyeyekevu chini ya mkono ulio Hodari. Hapa tunaongelea utii, ambayo ndio sign yake.kwa baadhi ya tamaduni ni goti lile la mwadelaaaa! Unaabudu na kunyenyekea kwa Mungu, lakini unamtii mume. Its Biblical. Japo hatutii ujinga.
Honey it is called " abuse" .
 
Exactly na kama linapigwa kwa upendo wote mtaenjoy aiseee ila mtu kutumia kumnyanyasa mwenza wake hiyo sio sahihi! Kwa mimi binafsi nilivyolelewa hadi dada zangu wananipigia magoti, mama yangu pia kuna baadhi ya vitu ni lazima anipigie magoti sasa ni kitu ambacho nilikiheshimu! Believe me I treated her kama mama yangu, na sikuwahi kuomba wala kulazimisha alijua ni kitu nakipenda akajizoesha! In turn unajikuta mnakua close kuliko!
You need propofol and seroquel to treat your extremely insecurity level .
 
Mind you, sijasema mie napiga goti. Hata la kuigiza huwa nasahau. Lakini ni utamaduni tu wa background yangu, ila ningekutana na mpenda goti mbona easy tu? Kuna mtu anapenda snaa kuamkiwa shkamoo, nikaona isiwe kesi. Mshkaji kanizidi 15 yrs, japo we work and feel same level. Nikaona why not, tuko peace kabisaa.
Sweet heart culture does change .siku Natalia unikute Napiga goti ujue nimekutana na yesu.mume wangu hata glass ya maji simpi
 
Goti ni ishara tu jamani watu wanapeana zawadi kwa magoti both wanaume na wanawake, so heshima is the onl thng dat needed me nafkiri kuheshimiana is more dan physical magoti!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mimi nitaoa Uganda watoto wa Kiganda wanapiga goti nusu saa hajanyanyuka.Isee niliipenda hii kakangu ameoa Mganda kumuuliza anasema ndo utamaduni wao ni ishara ya upendo na heshima kwa mwenzi wako. Hawa wenzetu kizazi cha dot.com hawayajui haya na wazazi enzi za kina nyerere walikuwa wanafanya hvyo kama utamaduni wa mtanzania.
 
Ikianza mambo ya kupigiana magoti tena kwa wapenzi naona haitapendeza.Ifike mahali wanandoa wawe na maisha ya utani na mizaha mizuri...sasa magoti is too formal.sijui ndio heshima au? Mie ntamuelewsha tu kuwa sijisikii kupiga magoti kama anayataka..kwa wazazi au wakwe sawa huwezi salimia umesimama kama mlingoti wa umeme...
 
Kaka that is abusive .upigiwe magoti are you kidding me .African men are not worth it ,very hard looking,no
Cash ,vitumbo vya chips ,mpaka ufike kwake mpaka uruke mifereji ya maji.pleseeeeeeeeeeeeeee

Natalia APO KWENYE RED,WAKIZUNGU NDIO WANASTAHILI?
 
Mimi nitaoa Uganda watoto wa Kiganda wanapiga goti nusu saa hajanyanyuka.Isee niliipenda hii kakangu ameoa Mganda kumuuliza anasema ndo utamaduni wao ni ishara ya upendo na heshima kwa mwenzi wako. Hawa wenzetu kizazi cha dot.com hawayajui haya na wazazi enzi za kina nyerere walikuwa wanafanya hvyo kama utamaduni wa mtanzania.

tena wanawake wa kiganda ata akiongea na simu na mwanaume anapiga magoti japo uyo mwanaume anayeongea naye kwenye simu amuoni,wana heshima sana,lakin wa tz ni wa kuesabika,Natalia amefikia hatua kusema wanaume wa kiafrika awastahili
 
I wouldn't kneel sababu sioni maana ya kumpigia goti! but nitamuheshimu kwa matendo.. which marks my point kupiga goti sioni kama ni ishara ya heshima according to me!!
 
Ofcoz it does change. If you would tell me a black african woman can live happily being jobless, i would have sworn that aint true! Gimme a bag of benjamins, but working keeps me sane. Its a social need.
Sweet heart culture does change .siku Natalia unikute Napiga goti ujue nimekutana na yesu.mume wangu hata glass ya maji simpi
 
Ofcoz it does change. If you would tell me a black african woman can live happily being jobless, i would have sworn that aint true! Gimme a bag of benjamins, but working keeps me sane. Its a social need.

I don't work because my husband makes so much money .Is for tax reason .Hata nikifanya kazi my salary will go to IRS .Second I'm good business women I have wholesale clothing online store and I have a blog sponsored by people with money .Goti halipigwi hapa
 
Natalia APO KWENYE RED,WAKIZUNGU NDIO WANASTAHILI?
Mfano christmas I got brand new Tahoe 0 mileage from my hubby.Nilipiga magoti kwa mungu.Thank God .And I pray to God for my hubby's health and all that .African men are very insecure ,controlling and alcoholic
 
Back
Top Bottom