Ladies be honest!

nipe mwongozo sasa unataka shepu ip

namba 8 au6 vyovyote vle mi ntatengeneza...m ready 4anythng beb we sema tu mintatenda!!!!:love:

Mie nataka nane ila 6 siijuhi niambie ikoje mayb nzur
 
Inategemea na mwanaume na kiasi gani nimemzoea,mi naweza mwambia kwani hata akinikataa ndo nitaacha kupumua??? kuliko kupoteza muda na resources ukimfanyia kila aina ya njia akuelewe na bado awe hakufeel bora umwambie akupe ukweli maisha yaendelee.....huh!
Kumwambia anioe ndo tabu,ila kwamba nampenda hakuna neno kabisaaaa!

Yap nimekuelewa vizur dadaa Bravo.
 
Rose nakuona na under 18 wako....unamfundisha mambo gani hayo?akikua atajua tu!!:bored::bored:
EHH KUMBE NI MABATA MADOGO DOGO YANAOGELEA\/
MWEE BASI NGOJA NTOKE NDUKI...MWAMBIE NILIKUWA NAMTANIA...MWAMBIE NISHAONDOKA...dooo awa watoto wa skuizi bwana ...utazani unaongea na babu yake kumbe unazungumza na mjukuu wake!

et wewe ni joniii?
 
Nlikuwa naona kumbe ndo 6. Basi nataka 6 mieeeeeee

ahh mi skutak tena et dada michele kanambia et wewe et wewe ni JONII...!!!!!!!
MI STAK AKINA JONIII WATA EAT SUGAR YANGU BURE...
john john...yes papaaa...eatng sugar...no papaaaa...................:love::love::love:
 
Angalia hicho kifaa kinakuchakachua humu ni nyumba ya sanaa hivyo kila mtu humu ni comedian!!nakushauri utafunte mbinu zingine!!

kakakiiza mistak maneno na wewe ohhh!!1
m seriouz na bzness sema tu nimeghairi!!!!
 
kakakiiza mistak maneno na wewe ohhh!!
m seriouz na bzness sema tu nimeghairi!!!!
Samahani mchuchu wa mbweta!!lakini kama kaanza siko sorry nilikuwa napiga fundo la kesto nikapitia!!karibu yawezekana yupo hapa nilipo mmalize mzizi wa fitna!!
 
Angalia hicho kifaa kinakuchakachua humu ni nyumba ya sanaa hivyo kila mtu humu ni comedian!!nakushauri utafunte mbinu zingine!!

Yan humu kiboko kuna wavulana wamesign kama wasichana na kuna wasicha wamesign kama wavulana yan vululu
 
Yan humu kiboko kuna wavulana wamesign kama wasichana na kuna wasicha wamesign kama wavulana yan vululu

we vp bwana mbona unakuwa na iman haba km tomaso?
amini mimi ni mwanamke si mschana

nkubalie uone...au mtume mjumbe/mshenga aje akuchekie...
 
Samahani mchuchu wa mbweta!!lakini kama kaanza siko sorry nilikuwa napiga fundo la kesto nikapitia!!karibu yawezekana yupo hapa nilipo mmalize mzizi wa fitna!!
ndo nin kunambia nina shep km ya kinu?
stak ivo ata km nina shep km ya kinu au banio la ugali ndo sna haki ya kutongoza?
 
we vp bwana mbona unakuwa na iman haba km tomaso?
amini mimi ni mwanamke si mschana

nkubalie uone...au mtume mjumbe/mshenga aje akuchekie...

Itabid aje kakakiiza kunichekia anipe ripot sitaki banio la ugali mana ninayo mengi, sitaki kinu kutwanga kazi, simba ndo naogopa, konyagi haramu.
 
we vp bwana mbona unakuwa na iman haba km tomaso?
amini mimi ni mwanamke si mschana
nkubalie uone...au mtume mjumbe/mshenga aje akuchekie...
Nilikuwa nang'arisha nakupa sifa!!nimepewa kibarua je tukutane wapi fishfish??au nilipowakaribisha jana??
 
Nilikuwa nang'arisha nakupa sifa!!nimepewa kibarua je tukutane wapi fishfish??au nilipowakaribisha jana??

teh teh naona umependa kibarua ulichokipewa?
nakuona km vle unasain mkataba..i wl do t undder minimum supervision....poa bwana we sema wap venue mintakuja unikague ukapeleke ripot

sasa sjui ningepata io methodology utakayotumia?
 
Itabid aje kakakiiza kunichekia anipe ripot sitaki banio la ugali mana ninayo mengi, sitaki kinu kutwanga kazi, simba ndo naogopa, konyagi haramu.

unamwamin uyo?
sawa.
ebu chek mdomo wake umekaa kubugia bugia kila kipitacho..ntasalimika?
mandhar unamwamini mi sna neno ntaenda akanifanyie assesment
 
unamwamin uyo?
sawa.
ebu chek mdomo wake umekaa kubugia bugia kila kipitacho..ntasalimika?
mandhar unamwamini mi sna neno ntaenda akanifanyie assesment
Jamani mbona unanihukumu???mimi nimepewa kibali wewe unasema nisiaminike!sasa venue.?
 
Back
Top Bottom