Labda sioni au nimekosea, Ng'ombe anaweza kuwa hivi?

Hawa ng`ombe tunawaita double muscular cattles, hapa nchini kwetu hawapo ila kwa wenzetu wa ulaya wapo wengi na mfano mzuri ni Belgian blue cattle.

Hawa ni maalumu kwa ajili ya nyama na wanafikia uzito mpaka wa kilo 2000
1479810665409.jpg

1479810671890.jpg
 
Wanakula chakula gani hao ngombe Watan2??maana c usawa wa tembo huo sasa???

Wanatengenezewa silage na virutubisho vya kutosha! Pia feed conversion ratio yao ni kubwa hivyo wanakula kiasi kidogo lkn misuli inajengeka kwa kasi kubwa sana.
Uzito ni zaidi ya tani moja!

Majike ya hii breed huzaa kwa njia ya upasiaji tu!!

Google Belgian Blue Cattle "double- muscling" uelimike zaidi!
 
Mi ng'ombe yenyewe inasunra mbaya,


Hafu ina sijui ni six pa...sivielewagi

Watakua wanapiga nondo hao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom