Labda sijui! Darasa la Mapenzi wapi?

Eeka Mangi

JF-Expert Member
Jul 27, 2008
3,173
481
Hello JF members
Hope you all have a lovely weekend.
Weekend hii nimekaa mahali nikawa nawaangalia baadhi ya watu na pia vituko vyao.
Niliona aina mbalimbali na watu wa rika tofauti. Kwa kweli tuseme walikuwa kwenye hali tunaweza kuiita ya kimapenzi! Nilijiuliza sana mwisho nikajiuliza hivi hawa wote waliwahi kupitia chuo chochote cha hii sanaa ya mapenzi? Ni nani na wapi watu hujifunzia hii sanaaa!
Naomba kujuzwa tu!
 
Wengine mashuleni na viuoni, wengine mtaani. Wengine wame google, wengine majumbani mwao, yani utamaduni wao tu. Sa we chagua moja kati ya hizo uende shule.
 
Yaani ukinambia shule hata sijui maana wazee wetu hawkwenda shule! Na huko shuleni na vyuoni kuna darasa kabsaa la art ya mapenzi? Kule kwetu hakuna sipiyu wala nini. Majumbani sikuwahi hata siku moja kumona baba na mama wakitokea nchumba kimoja! Lakini watu wanafanya mapenzi! Wamejifunzia wapi?
 
Nipo mbona tangu karne ya 12
 
Hello JF members
Hope you all have a lovely weekend.
Weekend hii nimekaa mahali nikawa nawaangalia baadhi ya watu na pia vituko vyao.
Niliona aina mbalimbali na watu wa rika tofauti. Kwa kweli tuseme walikuwa kwenye hali tunaweza kuiita ya kimapenzi! Nilijiuliza sana mwisho nikajiuliza hivi hawa wote waliwahi kupitia chuo chochote cha hii sanaa ya mapenzi? Ni nani na wapi watu hujifunzia hii sanaaa!
Naomba kujuzwa tu!

Mapenzi ni sanaa ambayo kadri unavyozidi kukua na kupevuka kiakili ndivyo unavyojifunza mengi.
Wewe kukaa kwako hapo na kuwaangalia hao wanaofanya manjonjo ya mapenzi tayari "upo darasani" na ukiwa na mpenzi wako utafikiria kufanya nae kama ulivyoona kwa wenzako. Na hata wao huenda walijifunza kwa kuangalia kama wewe. Hayo ya kuingia Google au kukaa Darasani kama unasomea Sayansi au udaktari ni mambo ambayo huenda yameanza kipindi hiki cha kubadilika kwa teknolojia.
 
labda ndo ile chemistry zimekutana lol

mmhh kuna wengine wanapendana mblele za watu
nyumbani ni ngumi mtindo mmoja,
 
Kwa hiyo hawa wapenzi wanaigiza mbele za watu! wakirudi home wana-matumlana sio?
 
Yaani ukinambia shule hata sijui maana wazee wetu hawkwenda shule! Na huko shuleni na vyuoni kuna darasa kabsaa la art ya mapenzi? Kule kwetu hakuna sipiyu wala nini. Majumbani sikuwahi hata siku moja kumona baba na mama wakitokea nchumba kimoja! Lakini watu wanafanya mapenzi! Wamejifunzia wapi?

acha uongo mangi... hata kama hukuwahi kuwaona au may be hata kama ulikuwa unalala servant kota au migombani mbali na nyumba kubwa baada ya kuwa umebalehe au kuvunja ungo lakini chumba cha wazazi wako lazima unakifahamu tu kwa,kwa hilo tusidanganyane.
 
Kwa hiyo hawa wapenzi wanaigiza mbele za watu! wakirudi home wana-matumlana sio?

my dear sio wote..
kuna wengine kweli wanapenda
wanapenda haswa..

ila kuna wale ambao ni show off tu
mabusu tele, kushikana hakuishi
tabasamu la hatari mbele za watu
wakiwa chumbani wanaelekezeana migongo..
 
Hello JF members
Hope you all have a lovely weekend.
Weekend hii nimekaa mahali nikawa nawaangalia baadhi ya watu na pia vituko vyao.
Niliona aina mbalimbali na watu wa rika tofauti. Kwa kweli tuseme walikuwa kwenye hali tunaweza kuiita ya kimapenzi! Nilijiuliza sana mwisho nikajiuliza hivi hawa wote waliwahi kupitia chuo chochote cha hii sanaa ya mapenzi? Ni nani na wapi watu hujifunzia hii sanaaa!
Naomba kujuzwa tu!

Present Tense or Past Perfect Tense?
 
acha uongo mangi... hata kama hukuwahi kuwaona au may be hata kama ulikuwa unalala servant kota au migombani mbali na nyumba kubwa baada ya kuwa umebalehe au kuvunja ungo lakini chumba cha wazazi wako lazima unakifahamu tu kwa,kwa hilo tusidanganyane.

Kudanganya nini sasa. Baba ana banda lake mama analala kule kwenye msonge na ngombe na mbuzi!
 
wewe badala ya kwenda kuogelea beach au mazaozini weekendi unaenda angalia mavituz? huo utundu utakuleka kwa mpemba anayewazibua nyuma wako za watu na kuwauwa kwa chuki zake za watanganyika, angalia please
 
Nipo chuoni nachukua shahada ya uzamivu ya Mapenzi - MA(Love)..

mmhh
Hongera sana dear
sasa siuniambie nikusaidie
na hizo essay maana dahh
mi ndo sex and love doctor
hhahhahhahaahahahha lol

Ni txt ukiwa tayari..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom