Labda sijamuelewa JK vizuri kwenye hotuba yake alipotembelea Wizara ya Ujenzi

Jumanho

Member
Sep 14, 2010
37
5
Nilichoelewa mimi ni kuwa Muheshimiwa Rais hakumkataza waziri wa ujenzi kundelea na bomoabomoa ila amemtaka kuwa na utu wakati wa zoezi hilo, kuangalia historia ya maeneo yatakayokumbwa ya bomoabomea hiyo na kuwalipa wale wanaostahili kulipwa, na asiangalie kuwa serikali itapata hasara tu kwa kuwalipa wanaostahili.
Mimi sidhani kama kwa hili pia rais alikosea.
 
Kama miaka yote sita hii na bado haujamwelewa Mkwere, basi pole na hautokaa umwelewe maishani mwako.
 
saigon hiyo alvatar yako noma,
huyu ni mwakilishi wa jimbo fulani huko songea?
anawakilisha...........
 
Back
Top Bottom