Eversmilin Gal
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 778
- 269
mi cielewi labda nimeona mtu amepanda kwa gari na familia yake anetoka job kanpandishwa mbele mfanyakazi mwenzake nyuma ndo kapanda mke wake na mtoto je nisawa?
ni sawa ikiwa tu ni makubaliano ya wanafamilia wenyewe, lakini si sawa ikiwa ni kwa shinikizo la huyo anayeitwa mfanyakazi mwenzake.mi cielewi labda nimeona mtu amepanda kwa gari na familia yake anetoka job kanpandishwa mbele mfanyakazi mwenzake nyuma ndo kapanda mke wake na mtoto je nisawa?
Hivi uliishia darasa la ngapi.
We tega sikio utanisikia.Kama hujaelewa,wewe ndo wa kuulizwa umeishia darasa la ngapi,swali lako halisaidii pia hapa sio shule!
We tega sikio utanisikia.
Oh unajua kuimba kizungu mwenzetu kumbe we ni ndugu yake cameron.I'm here,an am listening!
eversmiling gal,keep on smilling! hakuna ha ajabu hapo,hata ningekuwa mimi nisingekubali nikae mbele na mwanangu akae nyuma.kwa usalama wa mtoto ni bora kukaa nae!after all,kukaa mbele hakumaanishi kuwa wewe ndo mke wake,kama ni wako ni wako tu!
Oh unajua kuimba kizungu mwenzetu kumbe we ni ndugu yake cameron.
Sa we siulijidai msomi mbona unauliza namanisha nini, next time acha kurukia reli kwa mbele.Unamaanisha nini????Halafu kizungu ndo lugha gani?Sijawahi kuisikia tangu nipate akili!