Laana ya kutumia jina la Yusufu Makamba

Vumbi

Senior Member
Nov 7, 2010
191
27
Wadau, nimeangalia shule moja yenye jina la Yusuph Makamba, na pale watoto waliopata zero wapo 314 (mia tatu na kumi nne)hivi; Unajua bwana haya mambo ya kutaja shule fulani majina ya watu fulani kwa 99% unawezaleta baraka au laana katika shule husika; Sasa ulitegemea uiite shule Yusuph Makamba afu watoto wafaulu!No way, lazima tu wangepata zero...kama alivyo mwenye jina! Sijatukana mtu jamani naomba comment yangu ichapishwe, asanteni, anayenipinga anipinge kwa hoja yenye nguvu...asomaye na afahamu
lol.gif

S1806 YUSUF MAKAMBA SECONDARY SCHOOL <H3>DIV-I = 2 DIV-II = 4 DIV-III = 19 DIV-IV = 113 FLD = 314


</H3>
 
Hebu wajaribu kubadilisha hilo jina tuone kama ndiyo tatizo! napendekeza jina la Mungi Secondary School tuone itakuwaje.
 
zipo pia Jakaya Kikwete na Edward Lowassa ngoja niingie chaka kisha ntakuja na matokeo yao
 

s1803 lowassa secondary school <h3>div-i = 3 div-ii = 6 div-iii = 9 div-iv = 81 fld = 76


</h3>
 
jama!jama!mtu akichukiwa atabebeshwa mzigo na usio wake,hivi kweli jina ndo lisababishe watoto wafeli?na siyo kwamba watoto wenyewe ni vilaza?
 
ha ha ha ha ha ngoja nikamwamishe mdogo wangu toka katika shule inayoitwa RIZ 1 nadhani mwakani mambo yanaweza kuwa kama haya
 
National Examinations Council of Tanzania
CSEE 2010 Examination Results

S2008 JAKAYA KIKWETE SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 0 DIV-II = 1 DIV-III = 5 DIV IV = 48 FLD (DIV 0) = 76
 
Khekhe heheeeeeeeee... Kuna shule inaitwa chang'aa kule kondoa, wamefeli mpaka unajiuliza ni jina au vipi... Nyingine inaitwa kwapakacha... wako watoto 122, kati yao 113 wana ziro na tisa wana four

Wilaya ya kondoa hiyo... na mkuu wa wilaya na DED bado wapo kazini
 
national examinations council of tanzania
csee 2010 examination results

s1803 lowassa secondary school

div-i = 3 div-ii = 6 div-iii = 9 div-iv = 81 fld = 76


kwa hiyo huyu jamaa atakuwa hata hathamini mchango wa hii shule kupewa jina lake
 
Bora BEN BELLA - DIV-1=11 DIV-11=23 DIV-111=42 DIV-IV=74 FLD=3 Majina ya viongozi wa nje afadhali
 
Back
Top Bottom