Yusuf Makamba Secondary School na Matokeo ya kidato cha nne

Mkeshaji

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,262
1,416
Ndugu wana JF,
Katika pitapita zangu za kutafuta matokeo ya kijana wangu aliyemaliza kidato cha nne mwaka jana, sijui ni kwa bahati mbaya au nzuri nilikutana na matokeo ya shule moja ambayo ina namba za usajili S1806 inayojulikana kwa jina la Yusuf Makamba Secondary School. Matokeo hayo yalikuwa kama ifuatavyo (Summary):
Division 1 = 2
Division 2 = 4
Division 3 = 19
Division 4 = 113
Failures = 314

Hiyo ndiyo hali halisi. Sielewi kama matokeo hayo yana uhusiano wowote na somo wa hiyo shule.
 
Hao watoto hawana adabu, kwa nini wanaiga akili ya mzee wao?? Wasije wakaishia kuiga hata tabia ya ubakaji.
 
Back
Top Bottom