Majaribu2013
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 952
- 1,043
HALI YA AMANI KYELA SI NZURI,
Mwandishi wa habari Masoud Maulid amepigwa na kuumizwa na polisi pamoja na chombo cha usafiri Pikipiki imeharibiwa vibaya;
Tumeenda kumuona polisi hawaruhusu mtu yeyote kukanyaga kituoni muda huu unaishia barbarani. hata hivyo tumeambiwa yupo hospital kutibiwa lakini na huko hawaruhusu myu yeyote kuona wagonjwa polisi wanalinda na silaha za moto.
Pamoja na vijana wengine wamekamatwa na kupigwa wameumizwa!
Inavyosemekana mweshimiwa ameshindwa na kagoma kusaini.
Hatari sana