Kwetu pazuri pub Tabata: Wanaharibu maadili ya binti zetu

TAZARA CLUB

Member
Feb 6, 2007
48
15
Kwa kweli hii pub imekuja juu sana kibiashara lakini mambo yanayofanyika ndani huko ni balaa wadau hebu tusaidiane ili kuokoa dada zetu, biashara ya ngono iko juu sana pale
 
Hao kina dada ni under age ?, Kama ni watu wazima basi wanajua wanalolifanya lakini kama wanafanya kwa sababu ya matatizo na sio vinginevyo hakuna jinsi zaidi ya serikali / jamii kuongeza ajira kwa kukufua viwanda na kuanzisha viwanda vya kutengeneza products na sio kuendelea kuuza mali ghafi kunakuondelea sasa
 
Dada poa wamezidi, nadhani mwnye Pub inabidi aweke standards za wateja kama ataona kuna wachafuzi basi awe na mamlaka ya kuondoa wachafuzi hao kwenye pub yake. vinginenyo watamharibia business
 
Dada sio under age ni wadada watu wazima, kimsingi sio kosa kwao kuwe[po pub, ili tatizo wana creat usumbufu wa wateja wasiona na interest na biasahara yao
 
Pub iko kama unaelekea segerea baada ya Junction ya Bima, maeneo ya sanene opposite na shule ya Tusiime. barabara kuu iendayo Segerea
 
Mbona mchana shwari tu labda nyakati za usiku hasa pale mida ya sa 4 iv
 
Nitafika hapo na mm kujionea hayo ndio maeneo ya kunywa beer aiseee haujui tu inaonekana ww ni mnywa soda

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
sasa hawa wadada inabidi nao wapewe mashine za EFD tuone ni kiasi gani pato la taifa linaweza kuboreshwa.
by the way hao kunguru pale wanakera sana, ghafla utawaona haooo na bodaboda. hicho ndio kilichonikimbiza FRISHA
 
sasa hawa wadada inabidi nao wapewe mashine za EFD tuone ni kiasi gani pato la taifa linaweza kuboreshwa.
by the way hao kunguru pale wanakera sana, ghafla utawaona haooo na bodaboda. hicho ndio kilichonikimbiza FRISHA

Their number is going up on daily basis! I wonder if it pays any more....supply ikiwa kubwa kuliko demand you can imagine mambo yanakuwaje.

Tatizo hatuumizi vichwa kutafuta njia mbadala za kuendesha maisha. Kuuza mwili ni moja ya njia rahisi ya kujipatia kipato lakini haina guarantee itampa mtu kipato cha kiasi gani.

Msaada pekee tutakaoweza kuutoa ni malezi mazuri kwa watoto wetu tukiwasaidia kujua kwamba maisha na changamoto zake zinahitaji matumizi ya vivhwa kufikiria nini cha kufanya na sio kila kitu rahisi kufanyika kinalipa.
 
Jamaa wapo vizuri na wameteka soko la tabata hao dada poa wapo kila sehemu we kama umejilengesha juu yako...mbona uweki pua yako sinza corner bar mkuu????

Wacha jamaa apige pesa biashara ikikua ni lazima mambo kama hayo yawepo maana starehe ya gambe lazma hayo mambo yanogeshe so kama we dhaifu imekula kwako....

Shee NKAPA alisema ACHA WIVU WA KIKE
 
Back
Top Bottom