kwenye mazishi

Little-Lady

Member
Jan 30, 2012
10
3
jamaa mmoja alikwenda kwenye mazishi ya jiran yake.maada ya kumzika marehemu ,watu bado walilia xana .axa jamaa yule alilia kuliko watoto wa marehemu .watu wakashangaa xana alivyoonahivyo akanyamaza.mwenzake wa pembeni akamwoliza ,;mbona umenyamaza kulia?jamaa akajbu nimeweka vibration.
 
inachekesha lakini mimi sikuelewa hayo maneno kwenye rangi nyekundu....

Back
Top Bottom