Kwenye Mazishi ya Mhe. Jeremiah Sumari; JK atahudhuria?

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Muheshiwa Raisi wangu Jakaya Mrisho Kikwete husika na kichwa cha habari hapo juu! Tumezoea kukuona kwenye kushiriki kwenye tafrija nyingi tu hususani kwenye misiba hata hapo jana tulikua wote pale Morogoro tulipokwenda kumsitiri mwanaharakati dada yetu Regia Mtema uliliwakilisha taifa letu kwenye mazishi yale pasipo kukereka na mvua iliyokua inanyesha siku ya tukio hilo.

Dhumuni la kuandika Thready hii sio kwamba nataka kuunda hoja ya kuwa ni lazima kwenye tukio lolote linalohusu misiba basi ni lazima uwepo la hasha, kunaweza kutokea dharura ya kikazi na ukawa nje ya nchi kwaajili ya kazi za kuleta maendeleo katika nchi yetu basi ukawakilishwa na makamu wako au hata na kiongozi mwingine wa kitaifa.

Lengo na madhumuni yangu kuhusiana na swali langu hapo juu ni kua, muheshimiwa Raisi wangu tokea kwa uchaguzi wa uraisi/madiwani na wabunge kuisha na matokeo kutolewa na wewe kupata ridhaa ya kutuongoza kwa awamu hii ya mwisho kwako ni kua, ni jukumu lako kama raisi wetu kupita mikoani kwa wananchi waliokupa ridhaa ya kuwaongoza na kutoa shukrani zako kama ulivyodai ulishinda kwa kishindo kwa wao kukupa kura za kishindo kuingia Ikulu tena.

Muheshimiwa JK mimi na wenzangu ni wakazi wa jiji ambalo limetawaliwa na migogoro mingi ya kisiasa tokea chaguzi ziishe na mpaka sasa hivi tunaongozwa kwa migogoro isioisha nazungumzia jiji la Arusha. Muheshimiwa tokea upate fursa ya kuingia Ikulu hujafika hata kwenye ule uwanja uliopewa jina la kiongozi mkubwa na sijui kama kizazi hiki tulichonacho kama wanaijua historia ya huyu bwana Sheik Amri Abeid Karume, angalau kukaa na sisi kwa masaa mawili na kutushukuru kwakukupa ridhaa ya kuingia hapo ulipo.

Basi muheshimiwa nisimalize wino wangu kwakwenda mbali kuhusiana na hoja hii, nakuomba tu muheshimiwa JK kama utapata fursa ya kuja kushiriki na sisi kwenye msiba wa ndugu yetu Jeremiah Sumari basi angalau chukua na fursa angalau ya kukaa na sisi japo baada ya mazishi kumalizika au utuahidi utakuja lini tena rasmi kwaajili ya kutupa shukrani zetu za sisi kukupa kura zakutosha za wewe kutuongoza kwa awamu nyingine.

Nakushukuru sana muheshimiwa JK kwakupata muda wa kupitia ujumbe huu hapa jamvini na ninamatumaini hutatuangusha kwa haya tuliyokuomba, tusisikie tu kuwa muheshimiwa yuko Serengeti/Ngorongoro anaangalia wanyama, basi na sisi tunaomba hiyo fursa ya kuwa na sisi japo kwa muda tu ili tupate hizo shukrani zako. Asante na namalizia kwa swali langu KWENYE MAZISHI YA MUHESHIMIWA JEREMIAH SUMARI JK JE UTAHUDHURIA?

Asante sana,
Ni mimi niliyekupa kura za kutosha,
 
huyu summari alikuwa mponda democrasia
alikuwa akijibu maswali kiajabu nadhani ugonjwa wa ubongo ulimwaza siku nyingi

RIP sumari
 
Limbukeni Kikwete sijui kama atakuja kwa kweli,Chadema aliwaogopa ndiyo mana alikwenda!
 
muheshiwa raisi wangu jakaya mrisho kikwete husika na kichwa cha habari hapo juu! Tumezoea kukuona kwenye kushiriki kwenye tafrija nyingi tu hususani kwenye misiba hata hapo jana tulikua wote pale morogoro tulipokwenda kumsitiri mwanaharakati dada yetu regia mtema uliliwakilisha taifa letu kwenye mazishi yale pasipo kukereka na mvua iliyokua inanyesha siku ya tukio hilo.

Dhumuni la kuandika thready hii sio kwamba nataka kuunda hoja ya kuwa ni lazima kwenye tukio lolote linalohusu misiba basi ni lazima uwepo la hasha, kunaweza kutokea dharura ya kikazi na ukawa nje ya nchi kwaajili ya kazi za kuleta maendeleo katika nchi yetu basi ukawakilishwa na makamu wako au hata na kiongozi mwingine wa kitaifa.

Lengo na madhumuni yangu kuhusiana na swali langu hapo juu ni kua, muheshimiwa raisi wangu tokea kwa uchaguzi wa uraisi/madiwani na wabunge kuisha na matokeo kutolewa na wewe kupata ridhaa ya kutuongoza kwa awamu hii ya mwisho kwako ni kua, ni jukumu lako kama raisi wetu kupita mikoani kwa wananchi waliokupa ridhaa ya kuwaongoza na kutoa shukrani zako kama ulivyodai ulishinda kwa kishindo kwa wao kukupa kura za kishindo kuingia ikulu tena.

Muheshimiwa jk mimi na wenzangu ni wakazi wa jiji ambalo limetawaliwa na migogoro mingi ya kisiasa tokea chaguzi ziishe na mpaka sasa hivi tunaongozwa kwa migogoro isioisha nazungumzia jiji la arusha. Muheshimiwa tokea upate fursa ya kuingia ikulu hujafika hata kwenye ule uwanja uliopewa jina la kiongozi mkubwa na sijui kama kizazi hiki tulichonacho kama wanaijua historia ya huyu bwana sheik amri abeid karume, angalau kukaa na sisi kwa masaa mawili na kutushukuru kwakukupa ridhaa ya kuingia hapo ulipo.

Basi muheshimiwa nisimalize wino wangu kwakwenda mbali kuhusiana na hoja hii, nakuomba tu muheshimiwa jk kama utapata fursa ya kuja kushiriki na sisi kwenye msiba wa ndugu yetu jeremiah sumari basi angalau chukua na fursa angalau ya kukaa na sisi japo baada ya mazishi kumalizika au utuahidi utakuja lini tena rasmi kwaajili ya kutupa shukrani zetu za sisi kukupa kura zakutosha za wewe kutuongoza kwa awamu nyingine.

Nakushukuru sana muheshimiwa jk kwakupata muda wa kupitia ujumbe huu hapa jamvini na ninamatumaini hutatuangusha kwa haya tuliyokuomba, tusisikie tu kuwa muheshimiwa yuko serengeti/ngorongoro anaangalia wanyama, basi na sisi tunaomba hiyo fursa ya kuwa na sisi japo kwa muda tu ili tupate hizo shukrani zako. Asante na namalizia kwa swali langu kwenye mazishi ya muheshimiwa jeremiah sumari jk je utahudhuria?

asante sana,
ni mimi niliyekupa kura za kutosha,
mkuu ulipiga kura ngapi?
 
Raisi Kikwete amekua akishiriki kwenye shuguli nyingi za kijamii kama misiba,harusi na kuangalia wagonjwa. Hii inahusiana zaidi na tabia yake binafsi ambayo inahusiana zaidi na malezi yake. Tabia hii ambayo inaendana na utamaduni wa kiafrika ni ya kuheshimiwa. Ni WATU wengi hujisahau katika neema za nyakati na kujitenga na " matatizo" misiba n.k. Inafahamika bayana kwamba Raisi Kikwete amekua mshiriki wa shuguli za kijamii Kabla na hata baada ya kupata nyadhifa mbalimbali hadi kufikia kuwa Raisi. Si busara kubeza au kuhusisha tabia hii ya Rais na mambo ya kisiasa Kama hiyo kiu ya WATU wa Arusha kukaa na kiongozi wa nchi. Kichwa cha Uzi huu kimenichefua kwa sababu kwa mtazamo wangu kina "kebehi" tabia ya kibinadamu ya kimaadili ambayo Raisi ameionyesha kwa jamii YETU. Waungwana "mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni"
 
Ninashauku kubwa sana ya kumuona JK pale Sheik Amri Abeid Karume! Uzinduzi wa chanjo kwa watoto ilikua imeshapangwa aje lakini alimtuma Bilali sijui kwanini!
 
Sipati picha ya wewe kwanini ushikwe na kichefuchefu kwa uzi huu! Watanzania tunahulka ya ukarimu sana na hii inajulikana, unapopata heshima huwa kwenu nyie hamtoi shukrani??
 
Ashaenda mara 2 Arusha, lakini mara zote anashuka Uwanja wa ndege, anakatiza mahala panaitwa Canada, na kwenda zake Monduli...hasogei Arusha mjini!
Anyway, kwa Sumari ataenda kwa vile ni Wilaya nyingine, si Arusha mjini!...kule kwa Wameru wenzangu hakutishi kama A-Town kwa vijana wa Lema bana!
 
Muheshiwa Raisi wangu Jakaya Mrisho Kikwete husika na kichwa cha habari hapo juu! Tumezoea kukuona kwenye kushiriki kwenye tafrija nyingi tu hususani kwenye misiba hata hapo jana tulikua wote pale Morogoro tulipokwenda kumsitiri mwanaharakati dada yetu Regia Mtema uliliwakilisha taifa letu kwenye mazishi yale pasipo kukereka na mvua iliyokua inanyesha siku ya tukio hilo.

Dhumuni la kuandika Thready hii sio kwamba nataka kuunda hoja ya kuwa ni lazima kwenye tukio lolote linalohusu misiba basi ni lazima uwepo la hasha, kunaweza kutokea dharura ya kikazi na ukawa nje ya nchi kwaajili ya kazi za kuleta maendeleo katika nchi yetu basi ukawakilishwa na makamu wako au hata na kiongozi mwingine wa kitaifa.

Lengo na madhumuni yangu kuhusiana na swali langu hapo juu ni kua, muheshimiwa Raisi wangu tokea kwa uchaguzi wa uraisi/madiwani na wabunge kuisha na matokeo kutolewa na wewe kupata ridhaa ya kutuongoza kwa awamu hii ya mwisho kwako ni kua, ni jukumu lako kama raisi wetu kupita mikoani kwa wananchi waliokupa ridhaa ya kuwaongoza na kutoa shukrani zako kama ulivyodai ulishinda kwa kishindo kwa wao kukupa kura za kishindo kuingia Ikulu tena.

Muheshimiwa JK mimi na wenzangu ni wakazi wa jiji ambalo limetawaliwa na migogoro mingi ya kisiasa tokea chaguzi ziishe na mpaka sasa hivi tunaongozwa kwa migogoro isioisha nazungumzia jiji la Arusha. Muheshimiwa tokea upate fursa ya kuingia Ikulu hujafika hata kwenye ule uwanja uliopewa jina la kiongozi mkubwa na sijui kama kizazi hiki tulichonacho kama wanaijua historia ya huyu bwana Sheik Amri Abeid Karume, angalau kukaa na sisi kwa masaa mawili na kutushukuru kwakukupa ridhaa ya kuingia hapo ulipo.

Basi muheshimiwa nisimalize wino wangu kwakwenda mbali kuhusiana na hoja hii, nakuomba tu muheshimiwa JK kama utapata fursa ya kuja kushiriki na sisi kwenye msiba wa ndugu yetu Jeremiah Sumari basi angalau chukua na fursa angalau ya kukaa na sisi japo baada ya mazishi kumalizika au utuahidi utakuja lini tena rasmi kwaajili ya kutupa shukrani zetu za sisi kukupa kura zakutosha za wewe kutuongoza kwa awamu nyingine.

Nakushukuru sana muheshimiwa JK kwakupata muda wa kupitia ujumbe huu hapa jamvini na ninamatumaini hutatuangusha kwa haya tuliyokuomba, tusisikie tu kuwa muheshimiwa yuko Serengeti/Ngorongoro anaangalia wanyama, basi na sisi tunaomba hiyo fursa ya kuwa na sisi japo kwa muda tu ili tupate hizo shukrani zako. Asante na namalizia kwa swali langu KWENYE MAZISHI YA MUHESHIMIWA JEREMIAH SUMARI JK JE UTAHUDHURIA?

Asante sana,
Ni mimi niliyekupa kura za kutosha,

Mkuu SAHIHISHO dogo,
Hapo kwenye red ni Sheikh Amri Abeid Kaluta na si Sheikh Abeid Amaan Karume

Mpevu,
 
Ninashauku kubwa sana ya kumuona JK pale Sheik Amri Abeid Karume! Uzinduzi wa chanjo kwa watoto ilikua imeshapangwa aje lakini alimtuma Bilali sijui kwanini!

In red colour should read....Sheikh Amri Abeid Kaluta iwapo unamaanisha uwanja ule maarufu wa A-town. Otherwise utakuwa sahihi iwapo unamaanisha uwanja wa aidha paleeee mtaa wa uhuru/Lindi jirani ya machinga complex au unamaanisha ule uwanja wa Amaan-ZNZ.
 
Watu wengi wanachanganya asli ya jina la uwanja wa SHEIKH AMRI ABEID.Si AMRI ABEID KARUME bali ni AMRI ABEID KALUTA!Hayati Amri Abeid Kaluta alipata kuwa waziri enzi ya Nyerere na mshairi maarufu.Kwa heshima yake uwanja wa Arusha ukapewa jina lake.
 
Limbukeni Kikwete sijui kama atakuja kwa kweli,Chadema aliwaogopa ndiyo mana alikwenda!

Mkuu, you have gone too far. Hata kama ushindi wake ni kama wa kijana wake Jose Kabila lkn anastahili staha.
 
...alilazimika kujihusisha sana na msiba wa Regia Mtema (RIP) kwa kuogopa nguvu za umma. Lakini very possible hata huko kwa Sumari (RIP) akahudhuria,maana yeye ni mtu wa kupenda kuuza sura...ataenda kuonyesha tabasamu lake kule
 
Back
Top Bottom