Kwenye haya mambo ya dini tulipigwa, hakuna ukweli hata kidogo

angomwile

Senior Member
Sep 10, 2011
116
62
Mimi nafikiri kwenye haya mambo ya dini tulipigwa! na hakuna ukweli hata kidogo!

Mfano kwenye kuruani wameandika kuwa mungu hana ubaguzi na wala hana upendeleo kwa binadamu, lakini hapo hapo tunasoma kuwa muhamad ndie alishushiwa maandiko ili atusambazie dunia nzima?

Hii inashangaza na inaleta picha ya ubaguzi kwa huyo mungu muweza wa yote wa kuruani😂 kwenye jambo la muhimu kama hilo anampaje mtu mmoja?
 
Ule sio ubaguzi mbwa we Ile ni sawa na wewe ukaamua utumie tundu lipi kumuingilia mkeo shwain....
Usiulize maswali kama umebeba mimba maswali yanakuja na kichefuchefu
 
Mimi nafikiri kwenye haya mambo ya dini tulipigwa! na hakuna ukweli hata kidogo! Mfano kwenye kuruani wameandika kuwa mungu hana ubaguzi na wala hana upendeleo kwa binadamu, lakini hapo hapo tunasoma kuwa muhamad ndie alishushiwa maandiko ili atusambazie dunia nzima? Hii inashangaza na inaleta picha ya ubaguzi kwa huyo mungu muweza wa yote wa kuruani😂 kwenye jambo la muhimu kama hilo anampaje mtu mmoja?
Wewe ni kihiyo. Hata kutetea unachojaribu kutuambia huwezi. Na kwa nini yesu awe mwana wa Mungu huo sio upendeleo?
 
Simama kwenye DEMOKRASIA hiyo ndiyo FAHAMU KUU , Mwenyezi Mungu Aliyompatia mwanadamu.

Hulazimishwi na MUNGU, wala mwanadamu wala kiumbe chochote. KUAMINI AU KUTOAMINI uwepo wa MUNGU na mafundisho yake.

Mwenyezi Mungu ( Muweza wa yote) Amekupa UHURU na mwisho wa siku kuna HUKUMU.
 
Mimi nafikiri kwenye haya mambo ya dini tulipigwa! na hakuna ukweli hata kidogo! Mfano kwenye kuruani wameandika kuwa mungu hana ubaguzi na wala hana upendeleo kwa binadamu, lakini hapo hapo tunasoma kuwa muhamad ndie alishushiwa maandiko ili atusambazie dunia nzima? Hii inashangaza na inaleta picha ya ubaguzi kwa huyo mungu muweza wa yote wa kuruani kwenye jambo la muhimu kama hilo anampaje mtu mmoja?
Upande wa pili wao nani aliwaletea maandiko?

Maana umetolea mfano upande wa uislamu pekee sasa hapo unajionesha dhahiri jinsi ulivyo mjinga na brainwashed.
 
Ule sio ubaguzi mbwa we Ile ni sawa na wewe ukaamua utumie tundu lipi kumuingilia mkeo shwain....
Usiulize maswali kama umebeba mimba maswali yanakuja na kichefuchefu
Muislam aache kutolea mfano wa ngono kujielezea bado hajawa muislam.
 
Ule sio ubaguzi mbwa we Ile ni sawa na wewe ukaamua utumie tundu lipi kumuingilia mkeo shwain....
Usiulize maswali kama umebeba mimba maswali yanakuja na kichefuchefu
Astaghfirullah...!
Mswalie mtume sheikh wangu, hatujafundishwa hivyo!
 
Mimi nafikiri kwenye haya mambo ya dini tulipigwa! na hakuna ukweli hata kidogo!

Mfano kwenye kuruani wameandika kuwa mungu hana ubaguzi na wala hana upendeleo kwa binadamu, lakini hapo hapo tunasoma kuwa muhamad ndie alishushiwa maandiko ili atusambazie dunia nzima?

Hii inashangaza na inaleta picha ya ubaguzi kwa huyo mungu muweza wa yote wa kuruani😂 kwenye jambo la muhimu kama hilo anampaje mtu mmoja?
Lakini wakristo wa Africa wanaamini kuwa kuwa wayahudi ndio Bora kuliko wai
 
Dini ni utapeli kama utapeli mwingine Mungu hayupo. Mungu ama kitu kinachoitwa Mungu hakipo na hakijawahi kuwepo.

Ni hadithi tu zisizo na kichwa wala miguu watu wameaminishwa.
 
Ule sio ubaguzi mbwa we Ile ni sawa na wewe ukaamua utumie tundu lipi kumuingilia mkeo shwain....
Usiulize maswali kama umebeba mimba maswali yanakuja na kichefuchefu
Kwahiyo sisi binadamu ni tundu ?

Kitendo chako cha kujiita unampenda mungu Kisha ukamuita binadamu mwenzako mbwa ni dalili tosha hakuna mungu!

Kama mungu angekuwa amekubariki usingemuita mwenzio mbwa !

Nyie mnaojifanya mnamjua mungu ndio mnaita watu mbwa, kusengenya, tukana. N.k

Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nafikiri kwenye haya mambo ya dini tulipigwa! na hakuna ukweli hata kidogo!

Mfano kwenye kuruani wameandika kuwa mungu hana ubaguzi na wala hana upendeleo kwa binadamu, lakini hapo hapo tunasoma kuwa muhamad ndie alishushiwa maandiko ili atusambazie dunia nzima?

Hii inashangaza na inaleta picha ya ubaguzi kwa huyo mungu muweza wa yote wa kuruani kwenye jambo la muhimu kama hilo anampaje mtu mmoja?

zungumzia dini yako wewe ndio uliopigwa, dini ya waislamu waachie wenyewe mbona unawasemea, acha wivu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom