X-PASTER
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 11,610
- 1,810
Huo msemo utumiwa sana na watoto wa kike kama nilivyo ahinisha hapo juu, kama wewe ukuwahi kusikia basi ni bahati mbaya, ipo siku unaweza bahatika kusikia.X-PASTER, naomba ufafanuzi wa maana ya hii sentensi "HAKU sikuwa mimi", hii HAKU ni jina la mtu au...? , kwa mimi ninayejua kiswahili cha mtaani na sio cha shuleni ningesema, "huyo sikuwa mimi" au "sio mimi", naomba unifahamishe hapa, sijawahi kusikia/kuona matumizi ya namna hii.