Kwenu wadada mnaopenda kujibinua wakati wa picha

Kilaza

JF-Expert Member
Feb 28, 2013
3,324
1,377
Habarini za jioni wana Jamii Forums

Mimi nataka niwaulize hawa wadada hivi wakati wa kupiga picha bila kujibinua, hata kama lipo kama umepigwa pasi picha haipigiki au ndo kumwonyesha Kilaza hata mimi nipo msinipige bado mimi ni Jr,nilikuwa nawaza tuu.
 
habarini za jioni wana jf
dah mimi nataka niwaulize hawa wadada hivi wakati wa kupiga picha bila kujibinua hata kama lipo kama limepigwa pasi picha haipigiki au ndo kumwonyesha Kilaza hata me nipo
msinipige bado me ni Jr nilikuwa nawaza tuu......

Threads nyingine zinaboa sana. Jibu tayari umeshalitoa,sasa unataka sisi tuchangie nini?
 
si lazima kujibinua hata hivi yatoshaaaa yatoshaaa

GUU2.jpg
 
habarini za jioni wana jf
dah mimi nataka niwaulize hawa wadada hivi wakati wa kupiga picha bila kujibinua hata kama lipo kama limepigwa pasi picha haipigiki au ndo kumwonyesha Kilaza hata me nipo
msinipige bado me ni Jr nilikuwa nawaza tuu......

Dude kama hili halitaji kujibinua mtazamaj ndo atabunua macho angle zote kutaka kuona kila kitu

Jiunge na wenzio kujibinua hapa
 
Attachments

  • 1426173964546.jpg
    1426173964546.jpg
    65.6 KB · Views: 1,163
Last edited by a moderator:
Hayu anakifanywa au kifanyio. Sijaelewa bado

Simba na swala wakion mime mingi

Simba atasema check pori lile, ila swala atasema msosi muluaa.

Simba na swala wakion kundi la zebra
swala ngoja niende kwa washkj
Simba check misos ile..

Mkuu hiyo inafaaa kwa dinner si unaon ipo mezani
 
ipo tayari kupakuliwa Hahahaha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom