Kweli?

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,232
113,610
Hivi ni kweli matokeo ya mechi za NBA yanakuwaga yamepangwa? Nimesikia mtu anasema hapa kwa vile jana Nuggets wameshinda basi na leo Cavaliers watashinda ili kuongeza pizzazz na hivyo kutengeneza hela nyingi kwa NBA.....me I dunno...what y'all think?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom