Kweli wanaume mtakula kwa tabu..ili maandiko yatimie

naamka asubuhi najiandaa kwenda ktk mihangaiko yangu kama kawa najua najipatia kipato changu cha kila siku kama kawaida kinachofanya maisha yangu yaendelee kuwa supa

ni kwa nini bado ananifikiria..kama anajua kipati kipo kwanini asiache na mie niumize kichwa kama yeye anavyoumiza kichwa ???

AK 47..tutabanana hapa hapa

duh, leo umeamua kuwapa weekend wanaume .......... lakini mie najitoa, mwenzenu nainjoy sana huko "kupigika" wala sitaki kuonewa huruma...................

point yangu kubwa ni kuwa all the matter is a devine design nd so its accurate and exeleent.............. hakuna haja ya kuhurumiwa na hata wanawake hawapaswi kuhurumiwa kwa masuala ya uzazi bali kutiwa moyo ili waone kuwa ni shughuli ya pamoja hawajaachwa peke yao......................
 
Ngoja nibadilike sasa:
wewe jamaa anahangaika, anakimbiza shilingi,
halafu unatuambia 2010 niko kikazi zaidi
X*X*X*X*X*X*X*X*X*X

Kwa nini usiwe kimahaba zaidi? au unamaanisha kazi gani?

Niko kikazi zaidi kumridhisha yeye umegonga penyewe Bigirita..yeye anatafuta mie najifua kimazoezi
 
ah uanaume ni inshu,we unafikiri kwanini wengine wanaamua kuwa mashoga

ahahahaaaaaaaaaaaaaa! huyu jamaa atakuwa hayuko sawa, kuwa shoga sio sababu eti uanaume ni ishu, ushoga hausiani kabisa na shida, wengine ni kwa sababu maumbile yao yako hivo, kama ingekuwa hivo basi wanaume wote wangekuwa mashoga, halfu we mbona sio shoga au maisha yako ni poa/shwari?

acha kuchekessha bwana, kumbuka tu Mungu alitoa adhabu pale baba yetu Adamu alipokula tunda la mti wa mema na mabaya. halafu hii ikumbukwe kuwa ili mradi wewe ni mwanaume lazima baadae uwe na familia ili uitwe mwanaume, sasa ili kupata familia lazima utafute ili familia yako isiwe mfano mbaya kwenye jamii, lakini pia sio lazima hivo vitu alivomention firstlady1 uwe navo, unaweza kuwa na basic stuffs tu na familia yako ikawa poa na ukawa umetoka though!
 
firstlady1 my sister leo nitapingana nawe kidoogo lkn usikwazike shosti wangu ni mitizamo tu tofauti.
kwa hali ilivyo leo wanawake wengi nao wanamenyeka kama hivyo hao wanaume,japo wapo baadhi ya wanaume ambao huwafanyia kiila kitu wake zao au tuseme kwa leo ni wanawake wachache wanaolewa na kumkuta mume kafanya yote na yeye kuja na kanga alizozawadiwa harusini tu.
mi binafsi siwaonei huruma wanapochakarika kwani ni wajibu wa kila mtu awe mke au mume anatakiwa kuchakarika.
mi binafsi nachakarika sina tofauti na hao wanaume na wala sitegemei shemeji yenu avunje mgongo ili mie niende salon au nivae na kula vizuri.
yeye anachakarika na mie nachakarika na tulipokutana alikutana nina karibia kila kitu ulichotaja hapo juu hivyo tukajumulisha nguvu na kuendelea kuchakarika pamoja tukipeana support ya akili na mawazo na kutiana nguvu.
hivyo hata wewe kama ni mchakarikaji unastahili hongera na wala sio pole kama ulivyowapa maana kuchakarika ni wajibu kwa kila mtaka maendeleo na sio wanaume tu.
 
Wakati mwingine huwa nikiwafikiria nawahurumia sana wanaume poleni
Imagine umemaliza chuo au umeanza maisha yako kipato chako kwa mwezi laki nne/tano…………….milioni haifiki
Wewe huyo utatakiwa utafute nyumba upange uanze maisha
Baada ya hapo ..
*Uwaze kununua kiwanja ...hiyo pesa
*Ujenge nyumba
*Ununue gari
*Uwe na mke ,apate chakula
avae vizuri kama wengine,aende saloon
asikose pesa ya kutumia
*Utunze wanao ....
* wakati mwingine usaidie familia pande
zote mbili

Naona huwa mnaumiza sana vichwa vyenu nitoke vip?
I can’t imagine kaka zangu ..
Huwa mnachanganinyikiwa inapofikia swala la kuanza maisha ???????
si ndio maana kila mtu anaamua kuwa fisadi mamy
 
duh, leo umeamua kuwapa weekend wanaume .......... lakini mie najitoa, mwenzenu nainjoy sana huko "kupigika" wala sitaki kuonewa huruma...................

point yangu kubwa ni kuwa all the matter is a devine design nd so its accurate and exeleent.............. hakuna haja ya kuhurumiwa na hata wanawake hawapaswi kuhurumiwa kwa masuala ya uzazi bali kutiwa moyo ili waone kuwa ni shughuli ya pamoja hawajaachwa peke yao......................

haya AK nakupa moyo uendelee na utafutaji zaidi ..wajibu wako kutafuta ..
msalimie Pearl
 
ahahahaaaaaaaaaaaaaa! huyu jamaa atakuwa hayuko sawa, kuwa shoga sio sababu eti uanaume ni ishu, ushoga hausiani kabisa na shida, wengine ni kwa sababu maumbile yao yako hivo, kama ingekuwa hivo basi wanaume wote wangekuwa mashoga, halfu we mbona sio shoga au maisha yako ni poa/shwari?

acha kuchekessha bwana, kumbuka tu Mungu alitoa adhabu pale baba yetu Adamu alipokula tunda la mti wa mema na mabaya. halafu hii ikumbukwe kuwa ili mradi wewe ni mwanaume lazima baadae uwe na familia ili uitwe mwanaume, sasa ili kupata familia lazima utafute ili familia yako isiwe mfano mbaya kwenye jamii, lakini pia sio lazima hivo vitu alivomention firstlady1 uwe navo, unaweza kuwa na basic stuffs tu na familia yako ikawa poa na ukawa umetoka though!

Asante kabuche77 naona wewe umerudi kabisa kwenye bible ubarikiwe na bwana
 
Niko kikazi zaidi kumridhisha yeye umegonga penyewe Bigirita..yeye anatafuta mie najifua kimazoezi

ahahhaaaaaaaaaa, hii imenichekesha sana, birigita unataka awe kimahaba zaidi????, mbona hata avatar yake iko kimahaba! lakini ieleweke tu kuwa kuwa mwanaume ni ishu hasa linapokuja suala la watoto, unajua wife unaweza kuongea nae na akakuonea huruma, lakini hao makids wao hawajui kuwa dady kapata au la, they need food, moreover they need all basic stuffs be around, make wakienda kwa jirani wanaona kuna gari, kuna swimming pool, nyumba nzuri, so wanaanza kufikiria kuwa daddy alikuwa mvivu nini, mbona wale wana kila kitu, so watoto wanasukuma sana mtu upige hatua na kustruggle by any means, unaweza hata aanza kuandika mashairi yenye title by any means,

Kusema kweli uanaume ni ishu--------
 
ahahahaaaaaaaaaaaaaa! huyu jamaa atakuwa hayuko sawa, kuwa shoga sio sababu eti uanaume ni ishu, ushoga hausiani kabisa na shida, wengine ni kwa sababu maumbile yao yako hivo, kama ingekuwa hivo basi wanaume wote wangekuwa mashoga, halfu we mbona sio shoga au maisha yako ni poa/shwari?

acha kuchekessha bwana, kumbuka tu Mungu alitoa adhabu pale baba yetu Adamu alipokula tunda la mti wa mema na mabaya. halafu hii ikumbukwe kuwa ili mradi wewe ni mwanaume lazima baadae uwe na familia ili uitwe mwanaume, sasa ili kupata familia lazima utafute ili familia yako isiwe mfano mbaya kwenye jamii, lakini pia sio lazima hivo vitu alivomention firstlady1 uwe navo, unaweza kuwa na basic stuffs tu na familia yako ikawa poa na ukawa umetoka though!
Hizi hasira sasa!! Ijumaa yote hii unakasirika!!
 
duh, leo umeamua kuwapa weekend wanaume .......... lakini mie najitoa, mwenzenu nainjoy sana huko "kupigika" wala sitaki kuonewa huruma...................

point yangu kubwa ni kuwa all the matter is a devine design nd so its accurate and exeleent.............. hakuna haja ya kuhurumiwa na hata wanawake hawapaswi kuhurumiwa kwa masuala ya uzazi bali kutiwa moyo ili waone kuwa ni shughuli ya pamoja hawajaachwa peke yao......................
FL1,.....hebu eleza, huwa w'end nyingine huwa unawapa wakina nani?
 
duh, leo umeamua kuwapa weekend wanaume .......... lakini mie najitoa, mwenzenu nainjoy sana huko "kupigika" wala sitaki kuonewa huruma...................

point yangu kubwa ni kuwa all the matter is a devine design nd so its accurate and exeleent.............. hakuna haja ya kuhurumiwa na hata wanawake hawapaswi kuhurumiwa kwa masuala ya uzazi bali kutiwa moyo ili waone kuwa ni shughuli ya pamoja hawajaachwa peke yao......................
mkuu ushaonja joto la kupigika halafu una mke kifaa ndani na mtoto mdogo na hausgeli na mdogo wake mkeo unamsomesha high school wewe?halafu ajira uliokua unaitegemea imeota mbawa baada ya kupiga kadili kidogo kakabumbuluka?mzee usiombe ikukute waweza jiti kamba kweupeee.
 
firstlady1 my sister leo nitapingana nawe kidoogo lkn usikwazike shosti wangu ni mitizamo tu tofauti.
kwa hali ilivyo leo wanawake wengi nao wanamenyeka kama hivyo hao wanaume,japo wapo baadhi ya wanaume ambao huwafanyia kiila kitu wake zao au tuseme kwa leo ni wanawake wachache wanaolewa na kumkuta mume kafanya yote na yeye kuja na kanga alizozawadiwa harusini tu.
mi binafsi siwaonei huruma wanapochakarika kwani ni wajibu wa kila mtu awe mke au mume anatakiwa kuchakarika.
mi binafsi nachakarika sina tofauti na hao wanaume na wala sitegemei shemeji yenu avunje mgongo ili mie niende salon au nivae na kula vizuri.
yeye anachakarika na mie nachakarika na tulipokutana alikutana nina karibia kila kitu ulichotaja hapo juu hivyo tukajumulisha nguvu na kuendelea kuchakarika pamoja tukipeana support ya akili na mawazo na kutiana nguvu.
hivyo hata wewe kama ni mchakarikaji unastahili hongera na wala sio pole kama ulivyowapa maana kuchakarika ni wajibu kwa kila mtaka maendeleo na sio wanaume tu.
thanx mama cheusimangara ndio faida ya mijadala wazi...
am happy for you najua kina mama tunajikwamua hatutakia tena kusubiri kuletewa tukiwa tumejibweteka home
mambo yanaenda yakibadirika sana na maisha yamebadirika katika asilimia kubwa sana
Mie pia nahangaika hapa na kilimo kwanza mradi tu mambo yaendelee kuwa safi na tuendelee kuonekana katika uso wa hii dunia

Haya kina baba nawatia moyo muendelee kuchakarika na kuzidi kujikwamua zaidi na zaidi ...
Ngoja ninywe togwa kwanza ...Kiu
Ile verse ya Cheusimangara inapenda sissy ?
 
mkuu ushaonja joto la kupigika halafu una mke kifaa ndani na mtoto mdogo na hausgeli na mdogo wake mkeo unamsomesha high school wewe?halafu ajira uliokua unaitegemea imeota mbawa baada ya kupiga kadili kidogo kakabumbuluka?mzee usiombe ikukute waweza jiti kamba kweupeee.
Mkuu acha kabisa.
Ikikutokea hiyo, unatafuta kijiwe, unakamata hiyo kitu kwenye avatar yako, inatulizaga akili wakati mwingine.
 
mbaya zaidi hata ukiwa na jimama linakuhudumia kilakitu shughuli yake kitandani baada ya miaka mitano lazima utoke kibiongo kama una bahati halijakutema lol tuna tabu sisi:(
 
Mkuu acha kabisa.
Ikikutokea hiyo, unatafuta kijiwe, unakamata hiyo kitu kwenye avatar yako, inatulizaga akili wakati mwingine.
mkuu kama ulikuwepo ishawahi kunikumba na nilikuwa nakamata hiyo kitu balaa mradi tu mawazo yagande maana
 
thanx mama cheusimangara ndio faida ya mijadala wazi...
am happy for you najua kina mama tunajikwamua hatutakia tena kusubiri kuletewa tukiwa tumejibweteka home
mambo yanaenda yakibadirika sana na maisha yamebadirika katika asilimia kubwa sana
Mie pia nahangaika hapa na kilimo kwanza mradi tu mambo yaendelee kuwa safi na tuendelee kuonekana katika uso wa hii dunia

Haya kina baba nawatia moyo muendelee kuchakarika na kuzidi kujikwamua zaidi na zaidi ...
Ngoja ninywe togwa kwanza ...Kiu
Ile verse ya Cheusimangara inapenda sissy ?
sijakuelewa hapo mpendwa wangu?
...............................................
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom