Kweli wananchi wa ubungo mmepata mbunge makini(mnyika your my hero)

sajosojo

JF-Expert Member
Apr 14, 2010
1,017
619
Nimejaribu kumfuatilia huyu mbunge toka hajawa mbunge kweli nathubutu kusema nawapongeza wana ubungo kwa kuchagua mbunge makini na mpambanaji
 
Hongera Jon Mnyika. Juzi Mlimani TV uliniacha hoi. hoja zako zina VINA. Pambana Kijana. tukijaliwa kuishi 2015 una Kura yangu tena.
 
wee mleta hoja si bora ungetumia kiswahili tu kwenye heading yako? unaandika "your my hero" kinyaaa kabisa,, huwa tunasema you are my hero. sawazisha bana, inatia aibu
 
Jamani kafanya nn huko Ubungo mpaka awe 'my hero' wenu. Mtujuze basi wakuu nasie tuone kama kweli ni wa kumshabikia. Ninachojua JamboJema is my hero mpaka sasa!
 
Tupe japo kwa uchache lile zuri alilo fanya, mbona mnaishia kumsifia tu kunanini hapo Ubungo ?
 
Back
Top Bottom