Kweli uvivu kipaji

kweli uvivu ni kipaji, nina marafiki zangu enzi hizo wanaishi gheto moja panya alifia ndani. Kila siku wakirudi jioni wanapanga kesho asubuhi waamke mapema ili wautupe mzoga lakini ikifika asubuhi kila moja anawahi kazini. Panya alioza akanuka mpaka harufu ikaisha.

hahahaha jaluo huishi vituko.
 
Back
Top Bottom