Kweli mtoto umleavyo ndivyo akuavyo

akili za wanachama wa ccm sijui zikoje badala ya kushangaa waliokula pesa Escrow unamlaumu mtoto wa miaka 6 kujisaidia hadharani...jinga wewe

Sorry to disappoint you am not CCM member, kwa hyo kwenu mtoto akivua nguo na kujisaidia mbele za watu mnampa zawadi eti eeh!
 
Huenda kuna tatizo zaidi ya malezi hata motto wa miaka 3 akijisaidia mbele ya watu bila aibu itashangaza na mama yake wakati huo alikuwa wapi?

Mama alikuwepo kwenye mkusanyiko, mtoto katoka alikokuwa anarukaruka kaenda katikati ya duara na kufanya mambo yake.
 
lakini umri wake ni mdogo.. bado hajajua kufikiri..akikua ataacha

Miaka sita sii mdogo kwa familia za kifugaji bado miakla michache sana watu wachukue mahali, halafu mtoto mwenyewe wa kike? Tatizo wazazi wa siku iz hawana muda wa kuwalea watoto jukum hilo wameachiwa ma h.girl na television kulea watoto. Ndo utakuta mtoto ndiye anachagua chanel gani ya kutazama,
 
ndio kizazi cha sasa ndugu. wazazi wanakwepa jukumu la kulea na kuwaachia h girl. walimu mashuleni wanawakati mgumu kweli! unakuta mzazi kama huyo hapendi mtoto wake achapwe. nilimuona
 
Wamama wa siku hizi wengi wao wanavyo wa-handle watoto unawaza hivi ni kuwapenda au kukosa maono ktk malezi!

Mtoto anafanya kosa badala ya kumkanya wanaishia kuwambia eti utakuja umuone babako matokeo yake mtoto akiwa na mama anaweza fanya lolote akimchukulia kama mtoto mwenzie.
 
Wanatupa shida sana watoto kama hao darasani maana kwa umri huo anatakiwa awe darasa la kwanza.
 
poleni waalimu na kizazi cha leo! inabidi muombe musaada wa Mungu ili awape mbinu za kuwafundisha watoto kama hawa. mbinu za chuo hszitoshi..
 
Miaka sita,mtoto anatakiwa awe ameishafundishwa usiri wa nyeti zake,ni umri ambao anatakiwa awe anafua chupi zake na kuoga mwenyewe tena peke yake,hakuna mtu anatakiwa kuwa na Mazoea ya kuiona pochi yake zaidi ya mama yake au dada zake.

Hapo ni dhairi mama mzazi amefeli kutimiza wajibu wake kama mama mlezi.

Hii inaenda sambamba na kumvisha mtot nguo zinazoacha sehemu kubwa ya maungo nje anazoea,haoni hasara kukaa kaachia miguu huku chupi inaonekana.

Anaona kawaida,matokeo yake tunakuza vizazi vya wadada wasio na haya,wanagawa pochi kwa marika yote,wazee,vijana,wababa,serengeti,watotot yaan ni kuvua tu,hata hashtuki.

USASA.
 
Dogo katumwa natmalaika awape ujumbe kuwa sehemu ya ibada haigeuzwi pango la wezi.Kutakuwaje na mnada ibadani?
Waliokuwa wanaendesha mnada ibadani ndo wamelelewa vibaya na wala si dogo aliyekojoa hadharani.
 
Dogo katumwa natmalaika awape ujumbe kuwa sehemu ya ibada haigeuzwi pango la wezi.Kutakuwaje na mnada ibadani?
Waliokuwa wanaendesha mnada ibadani ndo wamelelewa vibaya na wala si dogo aliyekojoa hadharani.

Sijui umeelewaje mnada ila watu huwa wanatoa vitu kama sadaka. Vitu hivyo huuzwa kwa waumini kwa njia ya kunadi.
 
inavyooneka Katawa atakuwa anaabudu ile dini ya asili. hajui kama kanisan huwa tunafanya minada!
 
Hivi kizazi cha sasa watoto wetu tunawaleaje? Leo mjini Morogoro mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 6 aliwaduwaza watu waliokuwa ibadani baada ya kuvua nguo na kujisaidia haja ndogo katikati ya umati wa watu waliokuwa wamekusanyika kwa ajili ya mnada. Kitu kilichozua mshangao ni kuwa mtoto huyu hakuonyesha chembe ya uoga baada ya kumaliza haja na kwenda alipokuwa mamaye huku akicheka. Hivi ni kweli mtoto wa miaka sita anashindwa kumuambia mamaye nataka kujisaidia. Ni malezi gani tunawapa watoto wetu?
Huyo dogo angekutana na Muhamad s.a.w angebakwa
 
unamlaumu mtoto wa miaka sita mbona kunamijibaba inakojoa hovyo chunguza kuta nyingi za nyumba zimeandikwa usikojoe hapa kwani inafikiri wanakuwa wameandikiwa watoto au wakubwa wazima
 
Back
Top Bottom