Kweli mmechoka mida hiyo mtawapata wenye hawara zao tu !!!!!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,150
JAMANI HILI SI MTIHANI HUU AMA MAJAARIBU Ya ....kama mnaamua kuwazawadia wateja wenu wanufaike na mtandao wapen uhuru wa muda si mnajipangia mnavyotaka mida ambayo mnalala mkujua wenzenu awalali...sio kabisa kama vipi acheni kabisa kujitangazia uzuzshi kama huu
 
mwenyewe naona uzushi mtupu wandhani sisi hatulali tunasubiri Offer..
lakini wamefanya hivyo makusudi wakijua ..ni 5% ndo wataweza kuendana na muda huo ..
 
Wanajifanya wana akili sana ,wanajua watu wamechoka hapo wanataka kupumzika kwahio sio rahisi wakafanya fujo za kupigiana simu.ndio biashara lakini ubabaishaji mwingi kila siku.
 
Wizi mtupu ....watoe saa 12 abh mpaka sita mchana waone .....
 
Maoni yangu hapo ni kuwa hizo ni PEAK na OFF-PEAK TARRIFS ambazo ziko dunia nzima kwenye huduma za simu,peak time mara nyingi watumiaji ni wengi haswa business calls ambazo ni muhimu kwa uchumi,ndio maana gharama huwa juu in order to deter leisure callers(at the same time subscribers wanamake more money)
but off peak inakuwa cheap kwa ajili kwasababu wapigaji wengi wakati huo ni watumiaji wa kawaida sio business callers.
 
Unachosema kuhusu "PEAK na OFF-PEAK TARRIFS ambazo ziko dunia nzima kwenye huduma za simu" siyo kweli kuna nchi nyingine rate ya off peak hours ni 24/7 ili kuvutia wateja wengi katika makampuni mbali mbali ya simu.
 
peak na off peak ziko dunia nzima,u cant deny that,however as u said some subscribers wanaamua kuondoa ili kuvutia wateja,its some kind of promotion,so huwezi kudai,kuna pay monthly service ambayo mara nyingi unapata free minutes kutegemeana na how much u pay a month,service hii most of the time haina off peak or peak time na mara nyingi unapiga cross network,lakini ukiwa kwenye pay as u go(top up using vouchers) mara nyingi zina off na peak time.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom