macho_mdiliko
JF-Expert Member
- Mar 10, 2008
- 21,846
- 39,713
Leo hili jambo limekutoa huko ulikofichwa? Lowassa alijiharibia mwenyewe. Angehimiza mabadiliko ya katiba na uchaguzi huru wakati akiwa CCM, wangeopa kukata jina lake kwa sababu wangejua akienda upinzani, atashinda.JK ni nyoka,yaani alichomfanyia Lowassa,JK alitakiwa asiwe anaishi kabisa. I wish Lowassa angekuwa na Roho ya Putin aisee. Putin anaweza samehe yote ila si usaliti.JK alimsaliti mwenzake tena kamwita fisadi,akamkata jina kwenye Urais.Yaani JK aliharibu Destiny ya Edo kwa kweli.