Kweli Mbowe anapewa nafasi kuongea, ananyimwa Jakaya? Nashauri familia hizi zikae zimalize bifu

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Hakika kila mwenye Macho haambiwi tizama

Ili tukio ni la kwanza kutokea

Haiwezekani Mh Rais Mstaafu apewe nafasi ya kuzungumza kwenye Msiba wa Membe na atoe ya moyoni dhidi ya uhusiano wake na aliyekuwa waziri wake wa mambo ya nje.

Halafu mniambie amehuzunika mpaka akashindwa kuongea kwa Waziri Mkuu wake aliyefanya nae kazi Ikulu kwa miaka 2.

Ni dhahiri familia hizi mbili kuna jambo haliko sawa na ni vyema familia hizi zikutanishwe zijajenge bifu liishe.

Leo Hii ni kweli Jakaya haongei lolote? Leo hii yule mtoto wa Jakaya Yaani Ridhwani wa kutokwenda kumzika Rafiki kipenzi wa Baba yake.

Kumbuka Ridhiwani ndo alienda chumbani kumuita Baba yake yaani Jakaya kumwambia Sebuleni kuna wageni ambao walimpelekea salamu za baraka za kugombea Urais.
 
Haiwezekani Mh Rais Mstaafu apewe nafasi ya kuzungumza kwenye Msiba wa Membe na atoe ya moyoni dhidi ya uhusiano wake na aliyekuwa waziri wake wa mambo ya nje,

Alafu mniambie ameuzunika mpaka akashindwa kuongea kwa Waziri Mkuu wake aliyefanya nae kazi ikulu kwa miaka 2.

Ni dhahili familia hizi mbili kuna jambo haliko sawa na ni vyema familia hizi zikutanishwe zijajenge bifu liishe

Leo Hii ni kweli jakaya haongei lolote?leo hii yule mtoto wa Jakaya Yaani ridhiwani wa kuto kwenda kumzika Rafiki kipenzi wa Baba yake

Kumbuk ridhiwani ndo alienda chumbani kumuita Baba yake yaani Jakaya kumwmbia Sebureni kuna wageni ambao walimpelekea salamu za baraka za kugombea uraisi.
Jakaya ni snitch Mbowe sio snitch

USSR
 
JK ni nyoka,yaani alichomfanyia Lowassa,JK alitakiwa asiwe anaishi kabisa. I wish Lowassa angekuwa na Roho ya Putin aisee. Putin anaweza samehe yote ila si usaliti.JK alimsaliti mwenzake tena kamwita fisadi,akamkata jina kwenye Urais.Yaani JK aliharibu Destiny ya Edo kwa kweli.
 
Hakika kila mwenye Macho haambiwi tizama

Ili tukio ni la kwanza kutokea

Haiwezekani Mh Rais Mstaafu apewe nafasi ya kuzungumza kwenye Msiba wa Membe na atoe ya moyoni dhidi ya uhusiano wake na aliyekuwa waziri wake wa mambo ya nje.

Halafu mniambie amehuzunika mpaka akashindwa kuongea kwa Waziri Mkuu wake aliyefanya nae kazi Ikulu kwa miaka 2.

Ni dhahiri familia hizi mbili kuna jambo haliko sawa na ni vyema familia hizi zikutanishwe zijajenge bifu liishe.

Leo Hii ni kweli Jakaya haongei lolote? Leo hii yule mtoto wa Jakaya Yaani Ridhwani wa kutokwenda kumzika Rafiki kipenzi wa Baba yake.

Kumbuka Ridhiwani ndo alienda chumbani kumuita Baba yake yaani Jakaya kumwambia Sebuleni kuna wageni ambao walimpelekea salamu za baraka za kugombea Urais.
Mbona alishaongea mara mbili.
Nyumbani kwa lowasa masaki na karimjee.
Arusha waliongea viongozi waliopo madarakani tu.
 
Hakika kila mwenye Macho haambiwi tizama

Ili tukio ni la kwanza kutokea

Haiwezekani Mh Rais Mstaafu apewe nafasi ya kuzungumza kwenye Msiba wa Membe na atoe ya moyoni dhidi ya uhusiano wake na aliyekuwa waziri wake wa mambo ya nje.

Halafu mniambie amehuzunika mpaka akashindwa kuongea kwa Waziri Mkuu wake aliyefanya nae kazi Ikulu kwa miaka 2.

Ni dhahiri familia hizi mbili kuna jambo haliko sawa na ni vyema familia hizi zikutanishwe zijajenge bifu liishe.

Leo Hii ni kweli Jakaya haongei lolote? Leo hii yule mtoto wa Jakaya Yaani Ridhwani wa kutokwenda kumzika Rafiki kipenzi wa Baba yake.

Kumbuka Ridhiwani ndo alienda chumbani kumuita Baba yake yaani Jakaya kumwambia Sebuleni kuna wageni ambao walimpelekea salamu za baraka za kugombea Urais.
 
Inaonekana watu wengi walisubiria time ya kumsema JK kwa uhuru na huu msiba imekuwa fursa adhimu. Kinachonishangaza ni kila mtu kuwa na story za ndani, mara barua ya Urais, mara walikaripiana asee

Ndugu zangu acheni huo msiba uendelee kuwa msiba na sio jukwaa la kisiasa hivyo, chochote familia itakachoamua ndicho kitakachofanyika.
 
Hakika kila mwenye Macho haambiwi tizama

Ili tukio ni la kwanza kutokea

Haiwezekani Mh Rais Mstaafu apewe nafasi ya kuzungumza kwenye Msiba wa Membe na atoe ya moyoni dhidi ya uhusiano wake na aliyekuwa waziri wake wa mambo ya nje.

Halafu mniambie amehuzunika mpaka akashindwa kuongea kwa Waziri Mkuu wake aliyefanya nae kazi Ikulu kwa miaka 2.

Ni dhahiri familia hizi mbili kuna jambo haliko sawa na ni vyema familia hizi zikutanishwe zijajenge bifu liishe.

Leo Hii ni kweli Jakaya haongei lolote? Leo hii yule mtoto wa Jakaya Yaani Ridhwani wa kutokwenda kumzika Rafiki kipenzi wa Baba yake.

Kumbuka Ridhiwani ndo alienda chumbani kumuita Baba yake yaani Jakaya kumwambia Sebuleni kuna wageni ambao walimpelekea salamu za baraka za kugombea Urais.

Kuyajenga sahizi ni kupoteza muda. Watu tunatakiwa kuwa wakweli wa nafsi zetu. Kilichopo moyoni ni vema kionekane katika matendo.

Kwa matendo yake, Kikwete alidhihirisha ni adui mkubwa wa marehemu Lowasa. Lowasa hakuhitaji upendeleo wala fadhila, alistahili tu kutendewa haki, na Kikwete alisimamia kuhakikisha Lowasa anadhulumiwa, hapati haki. Kikwete ndiye aliyemnyima haki Lowasa na wajumbe wa mkutano mkuu wasipate nafasi ya kumpigia kura Lowasa. Na hata alipogombea upinzani, ni Kikwete aliyehakikisha Lowasa na Maalim Seif hawatangazwi washindi wa uchaguzi licha ya ukweli kwamba wote walushinda. Kikwete aliendeleza uharamia na ushetani wake, hata kuamua kuvamia ofisi za timu ya Lowasa iliyokuwa ikijumlisha kura zake aluzozipata nchi nzima. Wakapora computer zao, na kuwarundika mahabusu wajumlishaji wasio na hatia. Kwa unyama alioutenda, tunamwombea laana zote mdhulumaji na mnafiki Kikwete

Kama Kikwete angekuwa japo na chembe ndogo sana ya utu, pamoja na unafiki wake, angepiga kampeni ya wazi na ya siri ili wajumbe wa mkutano mkuu wasimpe kura Lowasa, lakini kwa vile alijihakikishia kuwa uwezo huo hana, akaamua kutumia ushetani wa moja kwa moja.

Anayefanya matendo ya kishetani, maana yake amebeba roho ya shetani. Kutafuta suluhu na mtu huyo, ni kutafuta suluhu na shetani. Labda kwanza Kikwete atubu moyoni na kwa uwazi uovu ule alioutenda, halafu familia na jamii nxima imsamehe ili apate msamaha wa uovu wake kwa Mungu. La sivyo hiyo dhambi na uovu wake, ataishi nao, atatembea nao, na ataingia nao kaburini sikubyake ya mwisho.

Kikwete siku yake ya mwisho ikifika, uovu wake huu usikose kusemwa ili usindikize vizuri matanga yake.
 
JK ni nyoka,yaani alichomfanyia Lowassa,JK alitakiwa asiwe anaishi kabisa. I wish Lowassa angekuwa na Roho ya Putin aisee. Putin anaweza samehe yote ila si usaliti.JK alimsaliti mwenzake tena kamwita fisadi,akamkata jina kwenye Urais.Yaani JK aliharibu Destiny ya Edo kwa kweli.
Umpe nchi fisadi lowasa!?..we mbuzi kweli,urafiki na nchi ni vitu viwili tofauti
 
Kuyajenga sahizi ni kupoteza muda. Watu tunatakiwa kuwa wakweli wa nafsi zetu. Kilichopo moyoni ni vema kionekane katika matendo.

Kwa matendo yake, Kikwete alidhihirisha ni adui mkubwa wa marehemu Lowasa. Lowasa hakuhitaji upendeleo wala fadhila, alistahili tu kutendewa haki, na Kikwete alisimamia kuhakikisha Lowasa anadhulumiwa, hapati haki. Kikwete ndiye aliyemnyima haki Lowasa na wajumbe wa mkutano mkuu wasipate nafasi ya kumpigia kura Lowasa. Na hata alipogombea upinzani, ni Kikwete aliyehakikisha Lowasa na Maalim Seif hawatangazwi washindi wa uchaguzi licha ya ukweli kwamba wote walushinda. Kikwete aliendeleza uharamia na ushetani wake, hata kuamua kuvamia ofisi za timu ya Lowasa iliyokuwa ikijumlisha kura zake aluzozipata nchi nzima. Wakapora computer zao, na kuwarundika mahabusu wajumlishaji wasio na hatia. Kwa unyama alioutenda, tunamwombea laana zote mdhulumaji na mnafiki Kikwete

Kama Kikwete anngekuwa japo na chembe ndogo sana ya utu, pamoja na unafiki wake, angepiga kampeni ya wazi na ya siri ili wajumbe wa mkutano mkuu wasimpe kura Lowasa, lakini kwa vile alijihakikishia kuwa uwezo huo hana, akaamua kutumia ushetani wa moja kwa moja.

Anayefanya matendo ya kishetani, maana yake amebeba roho ya shetani. Kutafuta suluhu na mtu huyo, ni kuraka kutafuta suluhu na shetani. Labda kwanza Kikwete atubu moyoni na kwa uwazi uovu ule alioutenda, halafu familia imsamehe ili apate msamaha wa uovu wake kwa Mungu. La sivyo hiyo dhambi na uovu wake, ataishi nao, atatembea nao, na ataingia nao kaburini sikubyake ya mwisho.
Hatima ya nchi haiwezi wekwa mikononi mwa fisadi kisa Kuna walevi wa pombe Kali na bangi wamemchagua kupitia vikaratasi
 
Back
Top Bottom