Kweli makalio ya sufuria hayaogopi moto

mpaka hapa sijakamata kitu....nini hizo za kuogopa?

Anawatonya muogope bakora za makalioni..........kwani yaelekea hamuogopi TIGO.......ninafikiri sasa umemwelea........................
 
ndo maana yake...
tukiziogopa hakuna mtu atakaye pata raha dunia hii.hahahah
hiyo ni dhahabu bwana uwe maskini au tajiri
bado uta ipata ...lol

Duh! kweli hiki ndicho kizazi cha kikwete a.k.a kizazi cha dot kom,mambo njenjeeeeeee.Maendeleo naona tumeyapata.safi sana hakuna kuogopa kitu ,bandika bandua .
 
chakwanza mimi si wa CCM kabisa na ki Kwete ...
kwani we hupendi mi jinsi nilivyo andika hivyo??
please give me ur honest answer....
 
ndo maana yake...
tukiziogopa hakuna mtu atakaye pata raha dunia hii.hahahah
hiyo ni dhahabu bwana uwe maskini au tajiri
bado uta ipata ...lol

Kama kalamu zina wino na madaftari yapo sharti zitumike kuandika @ afrodenzi
 
Siyo kila daftari utaruhusiwa kuandikia na kalamu yako!!!!
.......mengine yana vumbi utashikwa na mafua ,mengine yana rangi ka ya kalamu yako maandishi hayataonekana,,,,,,,,,,!!
 
Labda ana makalamu mengi yenye rangi tofauti
Au inabadilika rangi kama kinyonga
 
Back
Top Bottom