Kweli Kikwete dhaifu,,,,,

Chuck j

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
2,358
815
Kauli ya mh,Mnyika kuhusu udhaifu wa mh Kikwete ni kweli'
(1)Madaktari kugoma yeye kukaa kimya
(2)Waalimu kuhusu mishahara,hamna kauli
(3)Shirika la reli kushindwa kujiendesha na ubinafsishwaji mbovu yeye kimya
(4)Kashfa mawaziri na rushwa,
(5)Makanisa kuchomwa moto na yeye kukaa kimya,
(6)Swala la muungano,yeye kiimya,
(7)Mawaziri kuingia mikataba ilhali,bunge lilikataza,yeye kakaa kimya
nb,,
kikundi cha uamsho,,toa tamko
 
Back
Top Bottom