kweli haki ipo interview za tanroad?

Mzanzibar

Member
Sep 20, 2011
36
2
jamani hebu tuwekane wazi kweli haki ipo interview za tanroad? au ndo mwenye kamulete anaweza kupata?
 
Haki duniani? Wewe fanya interview, jiandae inavyopasa na jiweke fit. Ukipata sawa, ukikosa mswalie mtume uendelee kusaka.
 
Jiandae kwa lolote,hamna haja kujiuliza maswali mengi,ukiamini ni fair utatoboa bt ukianza kufikiria kuna upendeleo utakosa hta kabla ya matokeo ya usahili kutolewa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom