Kweli CCM imedhamiria kuleta Vurugu Arumeru, Soma hii ya leo jioni...

kwani akiwa na skafu ya ccm na kukaa na watu wa chadema atameza sera na mikakati ya ccm??? Kama kweli walichoma skafu basi ni wapumbavu wa kutupwa, tanzania haistahili kufika kwenye hizo siasa za matundu ya chooni!!!

umenena mkuu
 
Angewashitaki kwa kuchoma scarf yake. Kwani magwanda wameinunua hiyo lodge hata wasiruhusu mtu mwingine kwenda hapo? Kambi yao si waweke ofisini kwao.
 
Mujwahuzia:
Waswahili wanasema Kizuri Kinajiuza, lakini Kibaya Kinajitembeza,CCM wanadai ni wazuri wa kuongoza na kazi yao tunaiona ni nzuri na utawala mzuri tunauona ndani ya miaka 50 iliyopita lakini kwa kuangalia Matanuzi yenu kweli mnafanya Vizuri kwani maisha bora mnayo Magari Nyumba nzuri Mijifedha mpaka benki za nje matibabu ya macho W,Germany, wengine India wanaoanguka wamezungukwa na wakuwashikilia wasiumie,lakini akina Mbonde wakiumwa shauri yao hivyo basi kizuri chajiuza ni CCM. Kibaya kinajitembeza kwa wananchi ni CHADEMA kuangalia hayo majigambo ni ya kweli wananchi wanazipata hizo huduma???????? au fixxx mifano tunayo mingi haina maelezo kama mnafanya vizuri basi Magari ya FFU na virungu vya nini viongozi wote na fedha yenu kila mahala kwenye chaguzi ndogo vya nini wananchi siwanawajua watawapa kura siku ikifika kama mnatenda mema.kutumia nguvu nyingi kwenye chaguzi maana yake ni nini inatupa somo gani sisi tunaojiandaa kwenda kwenye chumba cha siri kumchagua tunaye mpendaaaaaaaaaa kwa ajiri ya kutuletea maendeleo ndugu zangu maendeleo kwa wananchi wa Arumeru na maeneo mengine mnayaona leo au kuwaletea watu wa kuhodhi Ardhi ndiyo maendeleo ya kujivunia baada ya Uhuru.wananchi wa Arumeru wachana na hao CCM miaka yote wapo wapi????????? waje kufanikisha kwa miaka 3 ijayo???.
 
ENDELEENI KUPIGA MAYOWE ILA CCM KITAPATA KURA NYINGI SANA:cool2:


kupata kura nyingi sana is one thing na kushinda is another thing. What are you trying to tell us here??? CCM chama chako chaweza kupata "kura nyingi sana" kama unavyodai na kisishinde. Mkipata kura zenu 3,750 ni "nyingi sana" pia, wakati huo wenzenu wana laki moja plus. Ukija humu jamvini jipange mkuu.
 
Chadema si mnasema CCM ni wazee tupu? Sasa huyo bint ametokea chama gani? Angalieni mnajikanyaga wenyeweee. Wazushi wakubwa

Kwani akina Ze Orijino Komedi waliokuja kuwashangilia CCM na kuvaa vitenge na vilemba vya CCM ni Wazee?,njaa mbaya...kuna vijana wanavaa vilemba,vitenge na kofia si kwakupenda...
Jibu unalo 1+1 haiwezi kuwa 11 ni 2.
 
Chadema yaani mnatengeneza picha wenyewe halafu mnalalamika wenyewe.

Mbona yule mama wa Chadema mlimvalisha Scarf na kitambaa cha kichwani cha CCM kwenye mkutano wenu halafu akapiga picha eti anamuombea dua Nassari.

Acheni siasa za kizamani.
 
Busara hainunuliwi. Mmewatupa watu wenye busara pembeni, lazimamyumbe tu "Magamba".
 
Wanaccm sijui wamerogwa.sasa huyo angepata kilema cha kudumu au mtindio wa ubongo kutokana na kipigo kutoka kwa wanaCDM ccm wangemlipa sh ngapi..CDM hatuna wapumbavu kama hao..
 
leo jioni mida ya saa 12 wakati wana cdm wakiwa ngomeni kwao elephant logde wakiusubiri msafara wa mgombea ubunge wao toka maji ya chai, alipita binti mmoja akiwa amejifunga scurf ya ccm na kuelekea elephant logde bila uoga wowote kwani hapo palikuwa na wakereketwa wa cdm tu.

Kilichotokea hapo huyo bint alivuliwa hiyo scurf yake na kuulizwa anataka nini, akajibu anataka kukaa hapo elephant bar, scurf yake ilichukuliwa na kuchomwa moto na huyo bint kuombwa aondoke kwani atawasababishia wamfanyie ukatili. Huwezi amini huyo bint aligoma kuondoka, vijana hao waligundua kuwa katumwa kuja kuchukoza wamtandike then iwe kesi polisi na stori kwenye kampeni kesho, aliachwa na alipoona hakuna mtu mwenye time nae akaamua kuondoka mwenyewe.

Nawasihi ccm acheni kuwatumawatu kuchokoza wana cdm kwani mtasababisha vurugu zisizo na msingi...

Nawasilisha...

naomba nikuulize hiyo elephant ni bar hotel ama nyumba ya mtu ? Kama ni bar ama hotel huyo binti anafahamu haki yake kwani chadema ni kina nani mpaka wawafukuze watu katika sehemu za starehe ebu kuweni wastaarabu na watu watawapenda
 
Back
Top Bottom