Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 8,194
- 11,625
Kuanzia muundo wa msingi wake, hadi mfumo wa kiutendaji, imejengwa imara sana kitaasisi na hivyo ni ngumu sana kutikiswa wala kuyumbishwa na dhoruba au tetemeko lolote la kisiasa la kutoka ndani au nje ya chama.
Msingi wake una mizizi ya kitaifa na kimataifa.
Imejengwa kukabiliana, kudhibiti na kuhimili barabara vishindo na mikiki mikiki ya kisakolojia, ya kifikra, sayansi na technoligia kutoka ndani na nje ya chama, kwa weledi, umahiri na umakini mkubwa sana, bila kuathiri uimara na umadhubuti wake.
Msingi wake umejengwa ili kuishi vizazi na vizazi vijavyo. Umeandaliwa vema kunajitegemea na kunajilinda wenyewe dhidi ya dhoruba mbalimbali za kisiasa..
Wanachama wake wa kongwe na vijana, ni imara zaidi kuzui mawimbi na kudhibit vuguvugu dhaifu sana za siasa za mihemko, malalamiko na harakati ambazo hazidumu na ambazo hubadilika kila wakati na kukosa muendelezo, dira au uelekeo. Na imekua rahisi kuzisambaratisha kirahisi na kuzitokomeza kabisa.
Wengi walio kihama chama hiki na kukimbiliea kwa wanaokipinga hukatishwa tamaa na hali hiyo, na hivyo wengi wao wamerejea chamani na wanasonga mbele.
Ndio maana nyakati hizi, vijijini na mijini, wanao kipinga chama hiki kilichowalea,
huadhibiwa vikali sana kwenye sanduku la kura na wapiga kura wenyewe.
Ni vigumu mno kuidhoofisha, kuisambaratisha au kuishinda CCM ilojengwa kwenye mioyo na saikolojia za wanainchi, kwenye msingi imara ya utu, usawa na haki kwa binadamu wote.
Haishindiki wala haibomoleki
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI 🐒