sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,947
- 8,409
Lol....kama haendagi amejuaje??? Ana mengi ya kufafanua leo!na kwa waganga unaendaga eeh? Mtafute mzee mtambuzi akusaidie
Lol....kama haendagi amejuaje??? Ana mengi ya kufafanua leo!na kwa waganga unaendaga eeh? Mtafute mzee mtambuzi akusaidie
Nimeanza kukupenda kwa mbali, kazana nisogee karibu!
Nimeanza kukupenda kwa mbali, kazana nisogee karibu!
Hahahahahaaa! Leo tunae huyu lol...
mtumeeee umesemaaa??
Wewe dini gani mdogo wangu, hujambo lakini mwenzio nimechukuwa majivu kibao natembea nayo leo mengine nauza
Na dharura wamwachia nani?Hiyo ndio itakuwa furaha yangu utakaposogea karibu yangu, baby leo nataka tutoke out
Lol....kama haendagi amejuaje??? Ana mengi ya kufafanua leo!
namba ya bosi wake ninayo wala usihofu
Wifi nimesema kwa mbali, ujue bado nimenuna! Hakyanani simchekei.
Yaani wifi,!..napenda unavyonilinda! Nimekugongea like kimoyo moyo! Akale alikolala jana.analo kidogo basi, na usimpikie chakula leo akale huko kwenye dharula.
Mh unauza ninashaka na imani yako
Mh unauza ninashaka na imani yako
Tehe! Tehe! Tehe! Au na hivi nilivyoanza kumpenda isijekuwa kanichanganyia uzoefu!.mzoefu huyu mdogo wangu namfahamu sana aliweka chumvi kwenye chakula miaka mitano iliyopita kikageuka nondo
Na dharura wamwachia nani?
Nashukuru na nyie wote pia
Na dharura wamwachia nani?
Ile uliyochukua ilikuwa ni bosi ambaye amehamishiwa tawi lingine na yeye hakuwa na taarifa ya ule wizi
Hahahaha! Ngastuka wifi, siendi nae!mnaweza mkaenda outing,halafu akakukimbia huyu akaifata dharura