Kwaresma njema

Kabakabana

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
5,551
1,159
Habari zenu wakuu,
Leo ni jumatano ya majivu kwa wenzetu wakristo na wakati mzuri wa kutafakari kufa kwa mwokozi Yesu kristo na ushindi wa kifo chake.
Nawatakia wote kwaresma njema yenye utulivu na amani.
 
Wewe dini gani mdogo wangu, hujambo lakini mwenzio nimechukuwa majivu kibao natembea nayo leo mengine nauza
 
Habari zenu wakuu,
Leo ni jumatano ya majivu kwa wenzetu wakristo na wakati mzuri wa kutafakari kufa kwa mwokozi Yesu kristo na ushindi wa kifo chake.
Nawatakia wote kwaresma njema yenye utulivu na amani.
Thanks a lot kabakabana! Iwe njema na kwako pia!
 
alikuwa anawasaidia wakenya kugoma labda,huwa unampiga eeh?

Hapana sikugoma maana nilimpigia simu yake ikawa imezimwa nilitaka kumtaarifu kuwa nimepata safari ya ghafla ya kikazi ila tumeshayamaliza mdogo wangu usiwe na wasiwasi
 
ya kwenda wapi?ooh kumbe ndo wewe niliemuona makoroboi jana usiku, chaa
 
Back
Top Bottom