Kwanini Waziri Mkuu wa India hajapewa degree ya heshima?

dr namugari

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
9,406
15,988
Kwanini hizi degree za heshima zinazotolewa na vyuo vya nje mbona haviwapi viongozi wao waandamizi wa taifa lao badala yake inawaita viongozi wa Africa na kuwapachika u Dr wa michongo. je kwanini haviwapi viongozi wao?

Nakumbuka Kipindi kikwete akiwa namba Moja aliitwa na chuo kikuu Cha kilimo Cha China na kumpachika u Dr na Hadi SASa amedumu nao Kama Dr jk ,sijui vigezo gani walitumia ila walisema Ni kutokana na ku transform kilimo kikawa Cha kisasa Hadi alivyo Rudi kutoka uchina akaja na gia ya kilimo Kwanza Kisha akagawa vitalu vya gasi vyote kwa wachina na hadi hv Sasa vinamilikiwa na wachina

Sasa najiuuliza kipindi hicho kikwete anakwenda Huko mbna hakwenda na mawaziri 9 kama.alivyo fanya mdogo ake Samia alivyo ambatana na nusu ya baraza la mawaziri pamoja na maofsa mbali mbali wa serekali yake .Hadi na kina Steve ake nae ame ambatana na rais Samia kwenda India ..kwangu mm huu ni uhujumu uchumi

Ni vyema viongozi wetu wakajitadhimini kwa safari na hizi degree za heshima wanazo pewa huko kama zina Tija au la vinginevyo wangewaita watoa degree kufika dodoma chamwino na kumpachika degree yake ya heshima na Hakuna angelalamika

Kwa Sasa Niko safarini kuelekea
Mabibo DSM

I wish I could be a president Kuna watu /vikundi vya watu vingetezeka Sana

Pia Soma:
- Chuo Kikuu cha Jawaharlal Nehru chamtunuku Rais Samia Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa (Doctorate Honoris Causa), leo Oktoba 10, 2023
 
Kwa mtindo huo wa kupewa degree za heshima hata diploma na cerficate za heshima zitolewe, vyuo vya kutoa vipo
 
Ili wapige vizuri!

Na hivi ni mwanamke hata akitaniwa "aunt umependeza sana ushungi uliojifunika" kesho anawaita anatafuta penye ardhi nzuri wananchi wanafukuzwa msifiaji anaingizwa kwa gear ni mwekezaji.
 
Nakumbuka Kipindi kikwete akiwa namba Moja aliitwa na chuo kikuu Cha kilimo Cha China na kumpachika u Dr na Hadi SASa amedumu nao Kama Dr jk ,sijui vigezo gani walitumia ila walisema Ni kutokana na ku transform kilimo kikawa Cha kisasa Hadi alivyo Rudi kutoka uchina akaja na gia ya kilimo Kwanza
emoji23.png
emoji23.png
Walipokuja huku na rais wao wakakomba container za pembe za ndovu vikundi vya ngoma vikaalikwa kushangilia
 
Kwanini hizi degree za heshima zinazotolewa na vyuo vya nnje mbona haviwapi viongozi wao waandamizi wa taifa lao badala yake inawaita viongozi wa Africa na kuwapachika u Dr wa michongo. je kwanini haviwapi viongozi wao ?
Sisi tunavishwa vilemba vya ukoka ili tupumbazike wachukua hazina zetu na vile tunapenda kusifiwa na kushangiliwa
 
Ni vyema viongozi wetu wakajitadhimini kwa safari na hizi degree za heshima wanazo pewa huko kama zina Tija au la vinginevyo wangewaita watoa degree kufika dodoma chamwino na kumpachika degree yake ya heshima na Hakuna angelalamika
Kumbuka tulibadilishana na wazungu almasi na shanga huu ni mwendelezo uleule wa unyani aliosema Hayati Rev. Mtikila
 
Hiyo degree inafaida gani?hivi umeeahi kuona ulaya au amerika mtua anitwa dokta kisa kapewa udaktari wa heshima?
 
Back
Top Bottom