GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,738
- 109,171
Kuna muda huwa nakaa na siwaelewi Wazazi (Walezi) wetu ambao wakati akina GENTAMYCINE tukiwa Watoto miaka ya mwanzoni mwa 80 walikuwa wakituchapa Bakora (Mboko) tena za Kishalubela (Kikatili) ili watunyooshe Kitabia na Kimaadili ndiyo hao hao Leo hii nasi tukiwanyoosha Wajukuu zao (Watoto wetu) wanatuzuia na Kuwatetea kabisa.
Kwa Mshangao mkubwa kabisa kuna Mwalimu wangu wa Shule ya Msingi (sasa Mstaafu) na Mlezi wangu pia Kimaadili nakumbuka enzi zake si tu kwamba niliishia kula Mboko (Bakora) zake Shuleni, bali pia alikuwa akinipa mno 'Adhabu za Kijeshi' kutokana na Ukorofi na Utundu wangu kanikuta nafanya kile kile alichokuwa akinifanyia Kanizuia, Kamtetea Mtoto na mpaka katishia Kunishtaki katika Taasisi za Haki za Watoto.
Nimejiuliza Maswali mengi sana tu moja wapo likiwa kuwa je, ina maana huyu Mwalimu na Mlezi wangu Kipindi kile ananichapa na kunipa Adhabu alikuwa anajua Mimi ni Ng'ombe (Mnyama) na kwamba huyu Mjukuu wake anayemtetea Leo hii ndiyo Mtu ( Binadamu ) Kwake au?
Najua hapa JamiiForums wapo Wazazi ( Walezi ) Wetu wengi tu hivyo nami GENTAMYCINE nawaambia kuwa kama nyie mlivyokuwa hamuingiliwi na Watu mlivyokuwa mkituchapa na kutuadhibu Basi hata na Sisi pia tukiwanyoosha Wajukuu zenu (Watoto wetu) muwe wapole vinginevyo hatutowaelewa na mnaweza hata Kusababisha na nyie tuwajumuisheni humo humo katika Vichapo ili mtulie na Uzee wenu huu (huo)
Mijukuu yenu yenyewe 'Mikorofi', haina Adabu na Utandawazi umewaharibu kwanini Sisi Baba zao (Walezi wao) tusiwanyooshe ili wasije kumpa taabu Rais Samia na Tanzania yake hii pamoja na IGP Sirro na Jeshi lake la Polisi katika Kukabiliana na ongezeko la Uhalifu nchini?
Yaani Mtoto nimemzaa Mwenyewe anaona kabisa Baba yake namtongoza Mama wa Jirani kanachomoa Simu yangu iliyoko katika Chaji yenye namba za 'Mahawara' zangu kadhaa na Picha zao kanampelekea na hadi 'Babaake' nanyimwa 'Mbunye' hivi hivi je, hii ni Adabu na Maadili mema ya Mtoto?
Namsubiri arudi ila leo ndiyo atajua kwanini Wimbo wa Taifa hauna 'Kolabo' na Nyoka hana Ugoko au Mkoa wa Mara ( Musoma ) hakuna Kibao cha KARIBU MKOANI MARA na 'Kiherehere' cha Kuchomoa Simu yangu iliyokuwa katika Chaji na kwenda nayo kwa Mwanamke niliyekuwa Namtongoza kilikuwa ni cha nini.